Salam za mwaka mpya: Je Maaskofu watajibiwa?

Mkuu,lililopo kwenye kanisa Katoliki ni kama mapadre wapo jeshini.Kila kitu kinaenda kwa vikao,mijadala,kupima,na amri za haohapo.Sina nia ya kuwatetea ila tuwape muda.Ni tofauti na jumuiya zingine ambazo wakuu wao ni mmojammoja na ana uhuru wa kutoa tamko bila kufuata au kusubiri mkubwa wake kuidhinisha.

Huko kuna Niwemugizi na Mapunda tu wengine wanafuata maelekezo kwani mhusika ni mtoto wa nyumbani!!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] happy new year Coco... You know how much I love you... Hebu tumsome kwa pamoja huyu mtumishi alichoandika View attachment 663221Sidhani huyu naye ni mmojawapo wa hawa wapinzani wa mitandaoni wanaojua kukosoa tuu... Wasioona jema hata moja.. Sidhani kama ni mmojawapo

Niambie huyu nini haswa kilimuwasha washa hadi kumwagika na hayo?

Je mmemjadili weeee na kuna faida ipi imepatikana kwake na pia kwenu nyie upinzani? Nasubiria majibu kwa hamu

Heri ya mwaka mpya kwako pia..

Nashukuru kujua u lavu me.. tabu mimi hilo neno huwa gumu sana kulitoa kutoka mdomoni au akilini mwangu.. eeeeeeh
 
Kwanini haukusubiri unayoongelea siku hiyo ifike kwanza.
Yaani nyie upinzani mnatia kukaa kimya hadi viongozi wenu.. na nyie mkijipigisha madebe kiunyongeee kisa JPM kaongelewa makanisani.

Mnatia huruma sana.. mwaka 2017 mmejimaliza kabisa. Acheni viongozi wenu washibe.. ila si mnaliaga au? Kuna kipindi natamani niwasaidie kuanzisha chama kipya niwape maujanja.. yaani nyie wa humu ili basi nanyi muonje pesa za ruzuku ambazo mnastahili mgao.. mmejitahidi sana ile eeeeh aiseeee.. sasa leteni hoja za kusaidia wananchi sio haya..

Ila serikalini wanalao.. na Polepole nae na chama chake nae anayake..
Tabu ingine ni nyie mnaokuza majambo na kuyageuza.. hadi kama wana makosa mnatufanya tuone wapo sawa wanachi sisi.. bikozi mnaboaaaa upinzani nyie. Mngekuwa smati mngeacha wananchi wajiulize wao makwao na kuona kama kuna makosa.. sasa hawa wameongea matatu tofauti nyie hao mnadandia hamjipimi.. eeeeeeeh JPM ananifanya niandike haya.. 2018 na siasa mie hukooooo humu ha ha haa

Ya kujibu ya mtandaoni sioni sababu ya nyie kushangaaa.. maisha ndivyo yamekuwa miaka hii.. au unataka wawasubiri upinzani muwape habari hizo mkifika bungeni.. ondia ushamba baai

Haya najiona hili ni gazeti la kufungia 2017 humu...
Nimerudia kusoma mara tatu ulichoandika Coco sijaelewa hata kimoja.
 
Kwani wakuu hamna akili ya kutambua msemaji rasmi ni nani?? Huyo ndiye mumsikilize. Kuna msemaji wa serikali na msemaji pia wa sisiemu, sasa kama hamjui nani ni nani basi viongozi wenu wana kazi ya ziada kuwapa yale masomo ya ziada.
Kumbe tatizo liko kwenu.
 
Kwani wakuu hamna akili ya kutambua msemaji rasmi ni nani?? Huyo ndiye mumsikilize. Kuna msemaji wa serikali na msemaji pia wa sisiemu, sasa kama hamjui nani ni nani basi viongozi wenu wana kazi ya ziada kuwapa yale masomo ya ziada.
Kumbe tatizo liko kwenu.
 
Niambie huyu nini haswa kilimuwasha washa hadi kumwagika na hayo?

Je mmemjadili weeee na kuna faida ipi imepatikana kwake na pia kwenu nyie upinzani? Nasubiria majibu kwa hamu

Heri ya mwaka mpya kwako pia..

Nashukuru kujua u lavu me.. tabu mimi hilo neno huwa gumu sana kulitoa kutoka mdomoni au akilini mwangu.. eeeeeeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jitahidi tu useme I LOVE YOU TOO JR... na kweli linakupa shida mpaka kuliandika umeliandika kivingine
Watu hujisikia vizuri wakiambiwa wanapendwa hebu fanya hivyo nami nijisikie vizuri
 
Isifikiriwe kuwa nataka kuleta hoja ya ubaguzi lakini nimeshangazwa mno na ukimya wa maaskofu wengi wakatoliki ambao huwa hawarembi na kupenda kuongea ukweli ulio uchi... Kwenye nyeupe wataita nyeupe na kwenye nyeusi wataita nyeusi... Ila mwaka huu naona kuna kigugumizi na sijaona waraka wowote toka kwao... Hii sio kawaida yao[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Huyu wakwetu.....jk alikuwa muislamu
 
Kwani wakuu hamna akili ya kutambua msemaji rasmi ni nani?? Huyo ndiye mumsikilize. Kuna msemaji wa serikali na msemaji pia wa sisiemu, sasa kama hamjui nani ni nani basi viongozi wenu wana kazi ya ziada kuwapa yale masomo ya ziada.
Kumbe tatizo liko kwenu.
Ahaha wengine humu madebe tu umeandika nini? Hujaelewa nadhani au unafikiriaga kinyume nyume.
 
Kwanini haukusubiri unayoongelea siku hiyo ifike kwanza.
Yaani nyie upinzani mnatia kukaa kimya hadi viongozi wenu.. na nyie mkijipigisha madebe kiunyongeee kisa JPM kaongelewa makanisani.

Mnatia huruma sana.. mwaka 2017 mmejimaliza kabisa. Acheni viongozi wenu washibe.. ila si mnaliaga au? Kuna kipindi natamani niwasaidie kuanzisha chama kipya niwape maujanja.. yaani nyie wa humu ili basi nanyi muonje pesa za ruzuku ambazo mnastahili mgao.. mmejitahidi sana ile eeeeh aiseeee.. sasa leteni hoja za kusaidia wananchi sio haya..

Ila serikalini wanalao.. na Polepole nae na chama chake nae anayake..
Tabu ingine ni nyie mnaokuza majambo na kuyageuza.. hadi kama wana makosa mnatufanya tuone wapo sawa wanachi sisi.. bikozi mnaboaaaa upinzani nyie. Mngekuwa smati mngeacha wananchi wajiulize wao makwao na kuona kama kuna makosa.. sasa hawa wameongea matatu tofauti nyie hao mnadandia hamjipimi.. eeeeeeeh JPM ananifanya niandike haya.. 2018 na siasa mie hukooooo humu ha ha haa

Ya kujibu ya mtandaoni sioni sababu ya nyie kushangaaa.. maisha ndivyo yamekuwa miaka hii.. au unataka wawasubiri upinzani muwape habari hizo mkifika bungeni.. ondia ushamba baai

Haya najiona hili ni gazeti la kufungia 2017 humu...
Unambinu gani wewe kahaba za kuwa upinzani??? Kama umeshindwa kubuni mbinu za kuzuia kipochi manyoya chako kunuka,utawapa upinzani mbinu gani???

Binti unakipochi manyoya kinanuka wewe!!!! Sikuhitaji tena.pumbafu kabisa.
 
Wengi tunawashangaa hawa Mkuu lakini hawajachelewa kusimamia haki na uhuru wa Watanzania. Pia ukiondoa Sheikh Ponda Viongozi wa dini ya kiislamu nao wamekuwa kimya mno na wengine hata wamethubutu kuendelea kummwagia sifa huyo mtenda maovu.

Tumechoshwa na hatutaki kuishi nchi inayoongozwa kama ilivyokuwa ikiongozwa na Afrika ya Kusini na wale Makaburu na Wabaguzi wa rangi.

Kuna baadhi ya masheikh wa BAKWATA unafiki na kujipendekeza ni sehemu kubwa ya maisha yao.
 
Eeeeeeh

Bujibuji.. sina chama ujue.. wala sipo serikalini.. ushabiki wa siasa humu na kujadili kiki nawaachia nyie.. mimi mwakani nitaburudika kivingine humu na breki juu

Siasa zinaboa.. bora uzi zisizo na siasaaaa.. mfano za mshana jr
[emoji23] [emoji23] halafu kuna Uzi nimekualika ila hujaja kama vipi twenzetu kule
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Eeeeeeh

Bujibuji.. sina chama ujue.. wala sipo serikalini.. ushabiki wa siasa humu na kujadili kiki nawaachia nyie.. mimi mwakani nitaburudika kivingine humu na breki juu

Siasa zinaboa.. bora uzi zisizo na siasaaaa.. mfano za mshana jr
Sema ukahaba wa siasa ni mgumu mnooo....na bado mtamkimbia wengi tu...huwezi kumtetea shetani ukashinda..

Buku saba kwishiney...sijuhi utaishije mjini ukiacha kuimba ngonjera za ccm oyee, hapa kazi tuu.....
 
Isifikiriwe kuwa nataka kuleta hoja ya ubaguzi lakini nimeshangazwa mno na ukimya wa maaskofu wengi wakatoliki ambao huwa hawarembi na kupenda kuongea ukweli ulio uchi... Kwenye nyeupe wataita nyeupe na kwenye nyeusi wataita nyeusi... Ila mwaka huu naona kuna kigugumizi na sijaona waraka wowote toka kwao... Hii sio kawaida yao[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Mbona jibu ni rahisi tu!!
Mkuu wa nchi anasali katika kanisa katoliki na kwa mantiki hiyo viongozi wa Kanisa wana nafasi kubwa ya kumshauri pembeni/ndani badala ya magazeti au social media.
Ikiwa unapata nafasi ya kukutana na mkuu na akakupa fursa ukatiririka,kuna haja gani kwenda kwenye magazeti?
 
Kwani wakuu hamna akili ya kutambua msemaji rasmi ni nani?? Huyo ndiye mumsikilize. Kuna msemaji wa serikali na msemaji pia wa sisiemu, sasa kama hamjui nani ni nani basi viongozi wenu wana kazi ya ziada kuwapa yale masomo ya ziada.
Kumbe tatizo liko kwenu.

Kwani wakuu hamna akili ya kutambua msemaji rasmi ni nani?? Huyo ndiye mumsikilize. Kuna msemaji wa serikali na msemaji pia wa sisiemu, sasa kama hamjui nani ni nani basi viongozi wenu wana kazi ya ziada kuwapa yale masomo ya ziada.
Kumbe tatizo liko kwenu.
Shida ni pale kitu kimoja hicho hicho kinapotolewa matamko mawili tofauti kabisa yanayopingana... Tafsiri yake ni nini? Hakuna mawasiliano
 
Back
Top Bottom