Salam za kwa-resma ziende kwa....

Salam za kwa-resma ziende kwa....

Salamu zangu za dhati kabisa zimwendee Dada yangu kipenzi wa hiari Shunie.

Popote pale ulipo Kaka yako nakukubali sana.

Karibu Mwanza

"Enough of No Love"
Kumbe tuko wote sukuma land..
Nami pia nakupa salam zangu za dhati

Wa sukumaland
 
Dah!! Basi ndo nimejua kua nami nna rafiki huku masara,,, asante kwa uwepo wako nakusalim pia salam zangu zikufikie mkuu.

Ujue humu kuna watu wao wana fevana hivyo hata sisi tunaojikuta segregated inatubidi tupite kimya kabisaaaaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa panaitwa pambana na hali yako
Tupo.pamoja rafiki

Wa sukumaland
 
Back
Top Bottom