Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Ndio ujue sasaKumbe, sikujua
Ndio ujue sasaKumbe, sikujua
Oooh thanks so much my sister always najivunikua na dada bora Mungu akubariki sanaaAsante mdogo wangu mpendwa.
Ujumbe: Ikamilishe Kwaresma yako kwa matendo yaliyo mema, mrudie Mungu kwa dhati maana binadamu tumeumbiwa kusahau.
Pasaka iwe njema kwetu sote panapo majaaliwa yake Mungu wetu aliye mwema [emoji1488]
Sent from my iPhone using JamiiForums