Salam za kwa-resma ziende kwa....

Salam za kwa-resma ziende kwa....

Baada ya mfungo kuanza naona kuna baadhi ya member wamekuwa wapitaji tu.naona wameamua kufunga kutumia JAMII FORUM.maana huenda ndio ulevi wao ilo wapatie thawabu.
Mimi napenda kumtumia salamu member NAKWEDE a.k.a.@NAHUJA. The mshenga wangu ndugu wa konk master pierre. Mtoto wa kipare
Naona hata simu yako haipatikani.najua uko bussy na kupika chakula kitamu hapo mwaloni mwanza.

Kama kuna mtu unamfahamu kuwa amefunga tafari acha jina leke hapa ukianza na herufu @. Ili aje akute salamu zake
KUMBUKA UKIPATA SALAMU,TUMA SALAM
kapeace
Mama Sabrina

Wa sukumaland
Ahsante sana.
 
Salamu zangu za dhati kabisa zimwendee Dada yangu kipenzi wa hiari Shunie.

Popote pale ulipo Kaka yako nakukubali sana.

Karibu Mwanza

"Enough of No Love"
Hahahaha nitakuja Ely tule masamaki [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Salam zangu za that nazipaleka kwa dada yangu Nifah wa thati popote alipoo..!!

Ujumbe : namtakia maandalizi mema ya sikuku za pasaka

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante mdogo wangu mpendwa.

Ujumbe: Ikamilishe Kwaresma yako kwa matendo yaliyo mema, mrudie Mungu kwa dhati maana binadamu tumeumbiwa kusahau.
Pasaka iwe njema kwetu sote panapo majaaliwa yake Mungu wetu aliye mwema [emoji1488]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom