Salam za kwa-resma ziende kwa....

Salam za kwa-resma ziende kwa....

[emoji23][emoji23] naona unamjibia, anyways nimeelewa

Hahaha, ujue kwenye list mimi niko kabla ya 'na wengine wote'.

So naamini sijawekwa mwisho kwa sababu ya umuhimu, ni kwa sababu hatuwezi kuandikwa wote namba moja.
 
Mi nafunguka kihiviii,,,

Salam zangu ziwafikie madada wooote wa Jf kwasababu nawaelewa sana,

Ila pia ma gentle men, nawapa salam za kwaresma dini zote, na hata wale tisio fungamana upandewowte salamu ziwafiki, tufrahie wakati huu kama watanzania, tuzidi kujipenda, kujikubali, tutimize wajibu na tuwe wawajibikaji katika ujenzi wa familia zetu kama sehemu kuuu ya ujenzi wa taifa hili kwaajili ya leo, kesho na keshokutwa, tuombeane amani na mafanikio pia.

Nawasalimu kwa maranyingine kwapamoja woote wanafamilia wa forum/jukwaa hili, kutoka moyoni, hivyo basi usomapo comment hii ewe nduguyangu ujue mi nakusalim, sina ubaguzi wowte, bali nime generalize.

kanchibay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom