Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,925
Mshikaji alikuwa anaendesha punda. Siku moja alimuuliza rafiki yake, "kwa nini gari zinaenda mbio?" akamjibu "zinatumia mafuta". Siku ya pili akaenda sheli na punda wake. Alipofika akamnyanyua mkia, akasema atiwe lita 5. Punda petrol ikamuwasha akatoka mbio. Jamaa akamfukuza kidogo kisha akarudi. Akavua suruali, akainama, akamwambia muuza mafuta amtie lita 10!