Mimi najua ukweli... Hakuna mwanamke duniani asiyetaka huduma. Imo ndani ya bailojia yenu. Ila tu nabisha kwasababu ni nyie wenyewe ambao mnalilia usawa wa 50 kwa 50 tena linapokuja swala la nafasi yenu katika jamii
Mwache mzee Kiranga ujue ni kama baba yako huyo? Na aliyosema ni yale yanayo endelea kwao huko, na ila pia hata wazungu wenyewe hawasemi tu ila usipo hudumumia anakutema