Salaam

Salaam

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Posts
6,933
Reaction score
4,706
Kwa heshima na taadhima, ndugu zanguni wadada na wakaka wa hapa JF nawasalimu. Kwa baadhi ya majuma sikuweza patikana hapa jamvini, kwani nilikuwa eneo ambalo liko nje ya mtandao. Hivyo naomba mniwie radhi. Nimechungulia hapa jamvini toka jana kama mgeni na nimejikuta nikiwa na raha ya aina yake baada ya kuzipitia baazi ya post zenu murua na zenye kuvutia. Hivyo basi kunikubali kwenu tena hapa jamvini, ni kibali kwangu kuchangia mada mbali mbali.
 
Back
Top Bottom