herman kajiru
Member
- Jan 21, 2017
- 72
- 52
Heshima zenu wakuu .
Nemkaribia Mkuu. Shukrani sana
Kama hivi eh?...Karibu. Ukimjibu mtu quote post yake kureply ili ajue umemjibu
Kama hivi eh?...
Ndiyo Mkuu. Nimeona alama ya dole gumba kama Facebook vile.Ee hapo sawa. Sehemu ya LIKE unaijua?
Ndiyo Mkuu. Nimeona alama ya dole gumba kama Facebook vile.
Asante sana Mkuu.Safi,Tayari umeshakua mwenyeji.