Ingekuwa balaa mbonaMziki wa Tanzania unaelekea kubaya,hapa hatumiliki shaba hivi je tungekuwa tunamiliki shaba.....
Ingekuwa kipindi cha wakina tupac na Notorious Big risasi nje njeMziki wa Tanzania unaelekea kubaya,hapa hatumiliki shaba hivi je tungekuwa tunamiliki shaba.....
Wanaogopana uchawi na kuibiana nyotaWbc managers,akili zao wanazijua wenyewe. Bifu la nini wakati Harmonize alishawalipa chao ?Au ndo walitaka waendelee kumnyonya ?Na hivi Magu kadhibiti wauza ganda Sallam ndo hana chake kabisa,na Coronavirus nayo ikaja kupigilia msumari.
Maana hata kwenye familia hata watu wawe na ugomvi vp wanapeana mikono baada ya msiba kila mtu anachukua hamsini zake......Ingekuwa kipindi cha wakina tupac na Notorious Big risasi nje nje
chief mpaka leo huna shaba?Mziki wa Tanzania unaelekea kubaya,hapa hatumiliki shaba hivi je tungekuwa tunamiliki shaba.....
Nyota unaiba vipi au nawe unapiga tunguli au labda ndio assumptions.Manake huwezi jua maswala ya kishirikina bila ya ww kuwa mshirikina.Wanaogopana uchawi na kuibiana nyota
We unayo?chief mpaka leo huna shaba?
unataka unisingizie nimekutishia na silaha eh ?We unayo?
Maelezo haya unataka tutoe maoni yetu ? vip tutajua kuwa hii habari ni ya kweliMsibani morogoro mazishi ya Mke wa Babu Tale, SALAAM SK mmoja wa mameneja wa Diamond akataa mkono wa HARMONIZE, binfsi sijapenda bifu hadi msibani? kama hasira angekuwa nazo Harmonize kwa zile M600, sio yeye. Nb kumbe Wcb walikuwa wanafaidika na uwepo wa TEMBO sasa mambo magumu
Salaam SK kumbe bado hajavunja ungoSalama kumbe hajakua anatabia za mvulana ambaye hajabalehe