Salute makamanda!
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana jinsi mnavyowanyuka magamba hasa hiki kikosi cha njaa kichwani LB7 FC. Ukweli ni kuwa mnapiga kazi sana tena sana. Makamanda mnafanya mashambulizi mjaribu. Mungu awabariki sana. Nimejaribu pia kufuatilia kwa umakini mkubwa baadhi ya comments za hao magamba na nimebaini kuwa kisaikolojia wapo hoi sana, basi tu dhiki ndio zinazowafanya wajisajili kwenye hicho kikosi cha lb7 fc na si ufahamu wao.
Nawasihi makamanda ambao kimsingi ni mpango wa Mungu, waendelee kuwapigania watanzania wanyonge ambao tumaini lao pekee na vizazi vyao limebaki kwa makamanda kupitia chama cha ukombozi, CHADEMA. Mkoloni mweusi CCM yupo mbioni kuishiwa pumzi. Nawashuri magamba wapandishe dau kwenye kikosi chao maana naona wameishiwa pumzi kabisa, ama wafanye usajili mwingine kuongeza nguvu. Makamanda wanapiga kazi tu tena bila malipo yeyote, wanajitolea kwa jasho, machozi na damu.
Makamanda tuendelee kuwabana pumzi hawa magamba!
Tuwabane bila kuchoka!
MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU WABARIKI MAKAMANDA. AMEN.