Salaam Makamanda!

TheDealer

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
2,424
1,129
Salute makamanda!

Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana jinsi mnavyowanyuka magamba hasa hiki kikosi cha njaa kichwani LB7 FC. Ukweli ni kuwa mnapiga kazi sana tena sana. Makamanda mnafanya mashambulizi mjaribu. Mungu awabariki sana. Nimejaribu pia kufuatilia kwa umakini mkubwa baadhi ya comments za hao magamba na nimebaini kuwa kisaikolojia wapo hoi sana, basi tu dhiki ndio zinazowafanya wajisajili kwenye hicho kikosi cha lb7 fc na si ufahamu wao.

Nawasihi makamanda ambao kimsingi ni mpango wa Mungu, waendelee kuwapigania watanzania wanyonge ambao tumaini lao pekee na vizazi vyao limebaki kwa makamanda kupitia chama cha ukombozi, CHADEMA. Mkoloni mweusi CCM yupo mbioni kuishiwa pumzi. Nawashuri magamba wapandishe dau kwenye kikosi chao maana naona wameishiwa pumzi kabisa, ama wafanye usajili mwingine kuongeza nguvu. Makamanda wanapiga kazi tu tena bila malipo yeyote, wanajitolea kwa jasho, machozi na damu.

Makamanda tuendelee kuwabana pumzi hawa magamba!
Tuwabane bila kuchoka!
MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU WABARIKI MAKAMANDA. AMEN.
 
Mkuu usipate tabu haw wetu kabisa hawana jipya zaidi ya kusema CHADEMA ni chama cha kilaghai , mara ho udini mara ukanda. Hawana ubunifu. Ngoja tupige kazi. Mwaka huu ukiisha na wao wameisha.
 
Kamanda tupo makini zaidi.Kukimbia kwa Zitto Jf ni jibu tosha.hata kuwa guest anaogopa.Fitna zao za maandamano fake zinanaswa kabla ya wakati.Zitto yupo peke yake bungeni,hana ujasiri tena,kabaki kukenua tu
 
Mkuu usipate tabu haw wetu kabisa hawana jipya zaidi ya kusema CHADEMA ni chama cha kilaghai , mara ho udini mara ukanda. Hawana ubunifu. Ngoja tupige kazi. Mwaka huu ukiisha na wao wameisha.

.......mwaka huu ukiisha na wao wamiesha .. .. .. . .. ..teh teh teh teh!
 
Kamanda tupo makini zaidi.Kukimbia kwa Zitto Jf ni jibu tosha.hata kuwa guest anaogopa.Fitna zao za maandamano fake zinanaswa kabla ya wakati.Zitto yupo peke yake bungeni,hana ujasiri tena,kabaki kukenua tu

Mungu anasikia kilio cha watanzania wanyonge, na sasa ameamua kushusha mkono wake wa ukombozi kupitia chadema!
 
Kamanda tupo makini zaidi.Kukimbia kwa Zitto Jf ni jibu tosha.hata kuwa guest anaogopa.Fitna zao za maandamano fake zinanaswa kabla ya wakati.Zitto yupo peke yake bungeni,hana ujasiri tena,kabaki kukenua tu

Alikua anatumia ID gani? Nasikia kachange..
 
Ahsante sana mtoa mada kweli umeongea ukweli mtupu, makamanda hakuna kulala pambaneni na hayo magamba mpaka vitambi vyao viishe kabisa wabaki kukenua mjengoni kama dogo ZZK
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom