Matango JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 535 Reaction score 118 Jan 14, 2011 #1 Nimekuwa msomaji wa jamvi hili kwa muda sasa. Nimevutiwa nalo.Linastahiki sifa nyingi, lakini kwa leo itoshe kupiga hodi nikiwa mwanachama mpya, ili nipate kukaa kwenye baraza. WanaJF kazi nzuri! ! Keep it UP !!
Nimekuwa msomaji wa jamvi hili kwa muda sasa. Nimevutiwa nalo.Linastahiki sifa nyingi, lakini kwa leo itoshe kupiga hodi nikiwa mwanachama mpya, ili nipate kukaa kwenye baraza. WanaJF kazi nzuri! ! Keep it UP !!
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Jan 14, 2011 #2 naamini u mgeni halali. karibu sana.
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,047 Jan 14, 2011 #3 Karibu sana mkuu!!
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,380 Jan 14, 2011 #4 karibu mkuu una jina zuri sana
Matango JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 535 Reaction score 118 Jan 14, 2011 Thread starter #5 Kituko said: karibu mkuu una jina zuri sana Click to expand... Nimeshakaribia. Asante kwa kulifagilia jina. Wenye kujua sifa za Matango watatuelimisha.
Kituko said: karibu mkuu una jina zuri sana Click to expand... Nimeshakaribia. Asante kwa kulifagilia jina. Wenye kujua sifa za Matango watatuelimisha.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Jan 14, 2011 #6 hata mimi napenda sana matango....karibu jamvini mpendwa