Salaam hizi ziwafikie

Salaam hizi ziwafikie

Lwakitwe

Senior Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
101
Reaction score
15
Habari wana jamvi ktk pitapita yangu nimeona ni jambo la busara kuwasalimia hawa wafuatao:- Tata nyamatwi,hekima tele,kyanakyomuhaya,baba koku na wapenda maendeleo wote.
 
Sogea kwenye mic Lwakitwe. Na ungependa salaam hizo zisindikizwe na wimbo gani?
 
Last edited by a moderator:
Kale ka wimbo kanakosifia ng'ombe wa kanyigo ndugu msikilizaji.
 
Habari wana jamvi ktk pitapita yangu nimeona ni jambo la busara kuwasalimia hawa wafuatao:- Tata nyamatwi,hekima tele,kyanakyomuhaya,baba koku na wapenda maendeleo wote.

Wamekwambia hao wanapenda maendeleo!??
 
Back
Top Bottom