sala zenu wapendwa wa jf

asante lakini angel ndo aliyeko hosp japo mi nina kachanga ka miezi
 
Mungu ampe uponyaji mpendwa wetu kwa imani "Hakika magonjwa yetu Yeye Mwenyewe aliyabeba, na maumivu yetu aliyachukua
Ila nachanganyikiwa ni nani kati yenu aliyejifungua last month ..?
 
Isaya 65:20 Hatakuwapo tena mtoto wa siku chache, wala mzee asiyetimia siku zake; kwa maana mtoto atakufa mwenye umri wa miaka mia ,Mungu ni mwema atamkumbuka pia Angel Msofe na baby wake.Get well soon
 
ameeeen santii sana she is doing just fine god is great
Isaya 65:20 Hatakuwapo tena mtoto wa siku chache, wala mzee asiyetimia siku zake; kwa maana mtoto atakufa mwenye umri wa miaka mia ,Mungu ni mwema atamkumbuka pia Angel Msofe na baby wake.Get well soon
 
Kwanza karibu kwa mgeni,pili hongera kwa kujifungua lakini mwisho kabisa pole sana kwa mama mzazi,Mungu ni mwema amekua nawe toka mwanzo wa ujauzito hata kuacha pekee yako ataendelea kukupa ushindi
 
congratulations to angel, may OUR ALMIGHTY AMPE NGUVU APONE HARAKA, NA AFYA NJEMA KWAKE NA MTOTO! AMEN!
 
asante kwa niaba ya mdogo wa mimi angel,anaendelea vizuri kwakweli mungu ni mwema maana
mmmhhhh alitaabika kidogo,na jf ndo ilikuwa mfariji wake
Kwanza karibu kwa mgeni,pili hongera kwa kujifungua lakini mwisho kabisa pole sana kwa mama mzazi,Mungu ni mwema amekua nawe toka mwanzo wa ujauzito hata kuacha pekee yako ataendelea kukupa ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…