Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,946
- 55,960
- Thread starter
- #21
^^
Utapona upesi,
^^
asante
^^
Utapona upesi,
^^
Pode sada mhuu.. dakuomea upode ubesi.
Ugua pole
Habarini za mapumziko ya mwisho wa wiki, kama tittle ilivyo ni kuwa nina mafua makali tokea jana asubuhi. Nimeshatumia dawa lakini sina ahueni, ila naamini maombi yenu pamoja na ya kwangu yatanirudisha kwenye hali yangu ya kawaida. Asanteni nawatakieni mapumziko mema.
Mkuu pole ila kapime na ngoma.Mafua ya namna gani hadi uombewe?
Mkuu pata konyagi nusu mzinga na Kitimoto hakika utakuja niambia...Mpaka Malaria itakwisha..
Hivi mafua ni ugonjwa???
Mkuu pata konyagi nusu mzinga na Kitimoto hakika utakuja niambia...Mpaka Malaria itakwisha..