Totally lostshairi zuri lakin sijaelewa kitu kimoja...
yan hapo katajwa mzungu au mungu...
daah kudadeki kama katajwa mzungu bas housegal umefeli kwa kumuona mzungu mali kiasi iko
Totally lostshairi zuri lakin sijaelewa kitu kimoja...
yan hapo katajwa mzungu au mungu...
daah kudadeki kama katajwa mzungu bas housegal umefeli kwa kumuona mzungu mali kiasi iko
“Conformity is the jailer of freedom and the
enemy of growth.” – John F. Kennedy
kaanzishe mada zako upate likes na comments.
mradi wamesoma message sent. sasa hapa mfugo utaniambia nini kwa mfano!
plus mada ya kusali kwa mzungu inatia ukakasi kidogo 😀
Mifugo wamejiita wenyewe. Nimeshasema Naonaga humu wakijilinganisha na ng'ombe, kuku na mbuzi kutetea michepuko
If you felt offended its most probably because you're the type of man that I just described. YOU SHOULD BE OFFENDED. That was the whole point of the post
huh????? Hades!! hivi kila anayeongelea gender issues alikuwa sexually abused??
embu ficha ujinga wako
If you didn't Cary other people's business in your head you wouldn't have bothered arguing here!!!!!
Wameelewa ila nibasi tu wanajitoa fahamuMbona watu mna mshambulia housegirl namna hiyo? Ametumia sanaa kufikisha ujumbe. Nashangaa katika point zote alizoziongea mmeona Mzungu tu. Yaani mmechukulia Mzungu kama Mzungu. Ni kama Mrisho Mpoto alivyoimba mjomba etc.
Kiukweli katika ustaarabu na usawa wa gender wazungu wametuzidi mbali. Katika jamii zetu bado tuna unyanyasaji wa kijinsia wa kipumbavu, tunahitaji elimu. Wanawake nao hawajitambui, wanafundwa kuvumilia ujinga wa wanaume. Tuna safari ndefu. Mzungu anaweza akasaidia.
Jamii yetu imejaa unafiki. Kupiga vita ushoga wakati mnakula tigo za wanawake. Ustaarabu ni Kukubali na kuheshimu sex orientation za watu wengine. Msihukumu watu kwa sex orientation. Hao wazungu waliowaletea biblia na dini leo wanafungisha ndoa za jinsia moja, nyie ambao mmeletewa tu ndo mnajidai mnajua sana! Kushinda waliowaletea. Kwani itachomwa moto kwa dhambi za mwenzako. Wewe shika 50 zako na imani yako waache wengine wafanye yao, huo ndo ustaarabu.
Tubadilike, jamani. Tuheshimu wake zetu nao watatuheshimu, tuache visingizio vya kupitiwa na shetani au udhaifu ili kuhalalisha michepuko.
I do not pretend to be royal but have lived and have seen. Yote ni wewe. Are you willing to roll over and accept whatever's happening in your life or are you going to keep on rolling with the punches? Chaguo ni lako ninasema ivi kwasababu yote haya nimeyapitia ndio maana ninakuwa mkali! If not I would definitely be in a gutter waiting for a flying pig!Aisee dunian kuna mambo na majambo.
Wanataka tufrne kama wao.
It has all been known they pretend to be like royal but they are nothing.
Just see the hell she has written yet deffending it to be the whole truth!!?! Damn!
I do not pretend to be royal but have lived and have seen. Yote ni wewe. Are you willing to roll over and accept whatever's happening in your life or are you going to keep on rolling with the punches? Chaguo ni lako ninasema ivi kwasababu yote haya nimeyapitia ndio maana ninakuwa mkali! If not I would definitely be in a gutter waiting for a flying pig!