Sala yangu kwa mzungu

Sala yangu kwa mzungu

Jesus!! Embu soma hii sentensi yako tena. Wow!
anything else you got from the thread apart from the mzungu.

yani hata ningeremba maneno vipi ukweli unabaki kuwa we're at their mercy ikija kwenye maswala ya gender.

the men of this continent have a problem. mzungu njooo
 
Naona JF imeweka tangazo la Reach For Change hapo. yani watoke kwao huko waje waangalie kama quality ya maisha ya watoto wenu inaridhisha!

mzungu njooo, bara la Giza hili
 
Let me rephrase this "you are at their mercy" because you have chosen to be so and think so, definitely not me. My mama wasn't weak, neither did she raise weak women and neither will I. You do raise some valid and burning issues but to expect all this to be handed to you by wazungu? What is wrong with you doing it yourself?
 
Eh mzungu, nakujia kwako jmosi hii tulivu, baada ya kugonga kitimoto roast ya ukweli, ingawa kuna member humu anajitahidi kweli na mada zake za kuponda mdudu huyu, ingawa ulishafanya tafiti za kutosha kusafisha uongo wote.

Eeeh mzungu saidia bara hili la giza.

Saidia na huku tuwe na wanaume manake kuna wanawake na mifugo tu.

Kutwa mifugo hii kujilinganisha na ng'ombe, kuku na mbuzi kutetea michepuko. Yani kweli ni kuku na mbuzi.

Hivi mwanaume anayejielewa anaweza kujifananisha na mnyama kweli?? Wanaume wa kuhesabuu.

Eeehh mzungu saidia bara hili lenye Giza.

Saidia manake mifugo mingi bado ina undugu wa karibu na masokwe. Ni kutumia mahasira na nguvu kujitia ukuu na ubabe kama masokwe porini.

Eeeh mzungu mpunguzie akili yako kidogo. Hadi leo watu wenye elimu zao za hapa na pale bado wanatafuta ukuu kama sokwe porini, wananyanyasa wanawake kimwili na kisaikolojia. Akili na ustaarab wako hawana!

Eeehh mzungu tusaidiege huku!

Mifugo haijielewi. Kutwa na sharubu zao kujiita dhaifu ili kutetea kupanda panda ovyo na kuumiza familia. Halafu yenyewe haitegemi kufanyiwa hivyo la sivyo itakurecord na kusambaza video.

Ndomana bara haliendelei. kuendekeza Mihemko tu kama mmbwa. NO DISCIPLINE. POOR COGNITIVE DEVELOPMENT.

Eeeeehhh muzungu ,

Saidia wanaume wa huku.
Kutwa kuongelea tamaduni za enzi za mitume wakati tuko kwenye ubepari.

Kutwa kufananisha wanawake na bibi zao wakati hali halizingani. Wanawake wanapataje shida kuishi maisha ya dunia mbili TOFAUTI ili kuwaridhisha! Lakini wao maisha yao na babu zao ni yaleyale. Full kurelax kidume. . Eeehh muzungu vavaa...

Eeehh Muzungu saidia...

Mifugo inaona dunia wameumbiwa wao, wanawake wamekuja by the way. Wao ndo wenye akili za maamuzi. Wao hawakoseagi. Wao ndo wa kuheshimiwa na kujaliwa. Wao ndo wenye tamaa za mwili. Wao ndo WAGUMU kuonewa na kusamehe. Wao ni kutafuta sukari tu, kutunza mahusiano si kazi yao. Wanawake ndo wa kujiheshimu wao wanaweza kujitia hamnazo.

Lakini mzungu,

Wanawake nao ni MAJIPU! hawajielewi. Kutwa kujitia kufundana ujinga unaoishia kutesa wenzao.

Wanawake wamefungwa kifikra. Wanasema ETI mifugo ndo silika yao!!

Hawajiamini. Eti waongozwe. Wawezeshwe. Itumike akili kuishi nao manake hawajielewi.

Hivi muzungu, wanawake wa huko dunia ya kwanza hawajielewi kama wa huku? Me naona wa huko ndo inahitajika AKILI kuishi nao. Wa huku wanaishi kwa vipigo, vitisho, ubabe na michepuko tu.

Mzungu tusaidie ELIMU ELIMU ELIMU.

Saidia na wanaume wanaoogopa degree holders 😀 saidia ili tuwalinde watoto wao watakaoozeshwa wakimaliza LA saba.

Kupitia serikali ya utumbuaji majipu na kidikteta (unaolazimishwa na mifugo ya bara hili) naomba muzungu utuokoe na UJINGA..

SO BE IT..
Mtoto alimzalau mama yake baada ya mama kutoa hotuba ya kipuuzi, hotuba ambayo iliwadhalilisha bibi na babu zake, yaani kizazi chao kilichopita, kilichopo na kijacho na kitakacho kuja baada ya hichi kijacho, TUKUZA ASILI YAKO HOUSE DADA. AU JICHUBUE ILI UONDOKE KATIKA FAMILIA YETU HII YA MANYANI.
 
Mbona watu mna mshambulia housegirl namna hiyo? Ametumia sanaa kufikisha ujumbe. Nashangaa katika point zote alizoziongea mmeona Mzungu tu. Yaani mmechukulia Mzungu kama Mzungu. Ni kama Mrisho Mpoto alivyoimba mjomba etc.

Kiukweli katika ustaarabu na usawa wa gender wazungu wametuzidi mbali. Katika jamii zetu bado tuna unyanyasaji wa kijinsia wa kipumbavu, tunahitaji elimu. Wanawake nao hawajitambui, wanafundwa kuvumilia ujinga wa wanaume. Tuna safari ndefu. Mzungu anaweza akasaidia.

Jamii yetu imejaa unafiki. Kupiga vita ushoga wakati mnakula tigo za wanawake. Ustaarabu ni Kukubali na kuheshimu sex orientation za watu wengine. Msihukumu watu kwa sex orientation. Hao wazungu waliowaletea biblia na dini leo wanafungisha ndoa za jinsia moja, nyie ambao mmeletewa tu ndo mnajidai mnajua sana! Kushinda waliowaletea. Kwani itachomwa moto kwa dhambi za mwenzako. Wewe shika 50 zako na imani yako waache wengine wafanye yao, huo ndo ustaarabu.

Tubadilike, jamani. Tuheshimu wake zetu nao watatuheshimu, tuache visingizio vya kupitiwa na shetani au udhaifu ili kuhalalisha michepuko.
 
Aisee dunian kuna mambo na majambo.
Wanataka tufrne kama wao.
It has all been known they pretend to be like royal but they are nothing.
Just see the hell she has written yet deffending it to be the whole truth!!?! Damn!
Let me rephrase this "you are at their mercy" because you have chosen to be so and think so, definitely not me. My mama wasn't weak, neither did she raise weak women and neither will I. You do raise some valid and burning issues but to expect all this to be handed to you by wazungu? What is wrong with you doing it yourself?
 
Haha housegirl bana. Umesema kuwa kuna wanawake na mifugo tu, okay. Hujafika mbali, unashangaa mifugo hiyo kujilinganisha na mifugo...? Mara wanaume wa kuhesabu.

Am I the only slow kind here?
 
Wewe ndio mtumw wa fikra kuliko watumwa wa aina nyingine na huu ndio utumwa mbata kuliko aina zote za utumwa, utumwa wa kuamini kika kitu hata kama ni kibaya.
Umeshaenda ujerumani ukaona maisha wanayoishi, kuna wazungu mpaka leo wana regret mfumo wa maisha wanayoishi kutokana na kwenda kinyume na mipango ya Mungu kwa kudhani ni maendelea na sex revolution.
Na weza kukupa mifano mingi hapa lkn kwa uelewa mdogo wa mambo ulioonesha hapa no kazi bure.
Mbona watu mna mshambulia housegirl namna hiyo? Ametumia sanaa kufikisha ujumbe. Nashangaa katika point zote alizoziongea mmeona Mzungu tu. Yaani mmechukulia Mzungu kama Mzungu. Ni kama Mrisho Mpoto alivyoimba mj

Kiukweli katika ustaarabu na usawa wa gender wazungu wametuzidi mbali. Katika jamii zetu bado tuna unyanyasaji wa kijinsia wa kipumbavu, tunahitaji elimu. Wanawake nao hawajitambui, wanafundwa kuvumilia ujinga wa wanaume. Tuna safari ndefu. Mzungu anaweza akasaidia.

Jamii yetu imejaa unafiki. Kupiga vita ushoga wakati mnakula tigo za wanawake. Ustaarabu ni Kukubali na kuheshimu sex orientation za watu wengine. Msihukumu watu kwa sex orientation. Hao wazungu waliowaletea biblia na dini leo wanafungisha ndoa za jinsia moja, nyie ambao mmeletewa tu ndo mnajidai mnajua sana! Kushinda waliowaletea. Kwani itachomwa moto kwa dhambi za mwenzako. Wewe shika 50 zako na imani yako waache wengine wafanye yao, huo ndo ustaarabu.

Tubadilike, jamani. Tuheshimu wake zetu nao watatuheshimu, tuache visingizio vya kupitiwa na shetani au udhaifu ili kuhalalisha michepuko.
muzungu atupe elimu yake atukomboe na ujinga na utumwa wa fikra...SO BE IT
 
Naona JF imeweka tangazo la Reach For Change hapo. yani watoke kwao huko waje waangalie kama quality ya maisha ya watoto wenu inaridhisha!

mzungu njooo, bara la Giza hili
Hii sred yako naona umekosea peleka huko unakoamini ni sahihi, ona hakuna hata anaekusapoti sred nzima toka juzi umeibandika.

Anyways hakuna anayeweza kupinga uovu wake mwenyewe lazima ataendelea kutetea na kuweka vikorombwezo kobao.

Mwaka jana Obama alivyokutana na Uhuru wa kenya , Uhuru alimtolea uvivu palepale on the spot alipoongea ujinga unaofanana na wako. Obama alidhani kwa kuwa yeye ni kiongozi wa taifa kubwa lilokubuhu kwa maovu basi alidhani wazo lake lingepigiwa makofi na hao mnaowaita mifugo, nyani n.k. Obama hana hata hamu na uhuru.

Ni ujinga kudhani yale ayafanyayo mwenzako ni ya kijinga na hayana thamani ilhali wewe unafanya ujinga zaidi.
 
99.9% ya mabwabwa wengi ukiwauliza maoni yao kuhusu sex orientation watajibu kama ulivyosema hapa.
Watatupia lawama biblia na quaran zinazokataza mambo haya. Tena utasikia biblia yenyewe imeletwa na wazungu.
They praise wazungu at the same time they insult who is mzungu so long yuko kinyume na maslahi yao.
Mbona watu mna mshambulia housegirl namna hiyo? Ametumia sanaa kufikisha ujumbe. Nashangaa katika point zote alizoziongea mmeona Mzungu tu. Yaani mmechukulia Mzungu kama Mzungu. Ni kama Mrisho Mpoto alivyoimba mjomba etc.

Kiukweli katika ustaarabu na usawa wa gender wazungu wametuzidi mbali. Katika jamii zetu bado tuna unyanyasaji wa kijinsia wa kipumbavu, tunahitaji elimu. Wanawake nao hawajitambui, wanafundwa kuvumilia ujinga wa wanaume. Tuna safari ndefu. Mzungu anaweza akasaidia.

Jamii yetu imejaa unafiki. Kupiga vita ushoga wakati mnakula tigo za wanawake. Ustaarabu ni Kukubali na kuheshimu sex orientation za watu wengine. Msihukumu watu kwa sex orientation. Hao wazungu waliowaletea biblia na dini leo wanafungisha ndoa za jinsia moja, nyie ambao mmeletewa tu ndo mnajidai mnajua sana! Kushinda waliowaletea. Kwani itachomwa moto kwa dhambi za mwenzako. Wewe shika 50 zako na imani yako waache wengine wafanye yao, huo ndo ustaarabu.

Tubadilike, jamani. Tuheshimu wake zetu nao watatuheshimu, tuache visingizio vya kupitiwa na shetani au udhaifu ili kuhalalisha michepuko.
 
Acha kujitetea reference yako ilikuwa ni wazungu vs hao unaowaita mifugo, nyani, wanyama.

I'm sure you said it out of your mind! Some delusional influences may have taken part.
A good person could have addressed a problem if actually there is a need to do so in a paratable non offensive language. Hicho ulichofanya wewe ni side effect ya ujinga wako either your faulty led into sufferings sexually and now you are putting blames to innocents.

Why do you like to carry people's busness in your head??
sijakuelewa

umedata na mzungu bro
😀
kama content imekupita may the underworld help you...

I'M NOT TAKING ANYTHING BACK.

bye
 
My mama wasn't weak, neither did she raise weak women and neither will I.

Well that is EXCELLENT so consider yourself lucky. Kama we ni muafrika you know how unfortunate so many women are here.

Let me rephrase this "you are at their mercy" because you have chosen to be so and think so, definitely not me. My mama wasn't weak, neither did she raise weak women and neither will I. You do raise some valid and burning issues but to expect all this to be handed to you by wazungu? What is wrong with you doing it yourself?

Kinda funny and sad how people seem to just have noticed the mzungu (which I highly anticipated anyway)

I chose to use the mzungu because ndo argument nayokutana nao whenever we talk about these things. Kila kitu kinaitwa "uzungu".
so wazungu watusaidie vitu vyao!

Ni uandishi tu. I'm changing nothing
 
Acha kujitetea reference yako ilikuwa ni wazungu vs hao unaowaita mifugo, nyani, wanyama.
Mifugo wamejiita wenyewe. Nimeshasema Naonaga humu wakijilinganisha na ng'ombe, kuku na mbuzi kutetea michepuko

A good person could have addressed a problem if actually there is a need to do so in a paratable non offensive language.
If you felt offended its most probably because you're the type of man that I just described. YOU SHOULD BE OFFENDED. That was the whole point of the post
Hicho ulichofanya wewe ni side effect ya ujinga wako either your faulty led into sufferings sexually and now you are putting blames to innocents.
huh????? Hades!! hivi kila anayeongelea gender issues alikuwa sexually abused??
embu ficha ujinga wako

Why do you like to carry people's busness in your head??
If you didn't Cary other people's business in your head you wouldn't have bothered arguing here!!!!!
 
Hii sred yako naona umekosea peleka huko unakoamini ni sahihi, ona hakuna hata anaekusapoti sred nzima toka juzi umeibandika.
.
“Conformity is the jailer of freedom and the
enemy of growth.” – John F. Kennedy

kaanzishe mada zako upate likes na comments.

mradi wamesoma message sent. sasa hapa mfugo utaniambia nini kwa mfano!

plus mada ya kusali kwa mzungu inatia ukakasi kidogo 😀
 
Wewe ndio mtumw wa fikra kuliko watumwa wa aina nyingine na huu ndio utumwa mbata kuliko aina zote za utumwa, utumwa wa kuamini kika kitu hata kama ni kibaya.
.
hii principle ungeitumia maishani mwako probably tungekuwa on the same page right now.

you're the victim of conformity here. may manyau nyau heal you.
 
Mbona watu mna mshambulia housegirl namna hiyo? Ametumia sanaa kufikisha ujumbe. Nashangaa katika point zote alizoziongea mmeona Mzungu tu. Yaani mmechukulia Mzungu kama Mzungu. Ni kama Mrisho Mpoto alivyoimba mjomba etc.

Kiukweli katika ustaarabu na usawa wa gender wazungu wametuzidi mbali. Katika jamii zetu bado tuna unyanyasaji wa kijinsia wa kipumbavu, tunahitaji elimu. Wanawake nao hawajitambui, wanafundwa kuvumilia ujinga wa wanaume. Tuna safari ndefu. Mzungu anaweza akasaidia.

Jamii yetu imejaa unafiki. Kupiga vita ushoga wakati mnakula tigo za wanawake. Ustaarabu ni Kukubali na kuheshimu sex orientation za watu wengine. Msihukumu watu kwa sex orientation. Hao wazungu waliowaletea biblia na dini leo wanafungisha ndoa za jinsia moja, nyie ambao mmeletewa tu ndo mnajidai mnajua sana! Kushinda waliowaletea. Kwani itachomwa moto kwa dhambi za mwenzako. Wewe shika 50 zako na imani yako waache wengine wafanye yao, huo ndo ustaarabu.

Tubadilike, jamani. Tuheshimu wake zetu nao watatuheshimu, tuache visingizio vya kupitiwa na shetani au udhaifu ili kuhalalisha michepuko.
unatakaje kitimoto yako? roast? fried? eti nasikia kuna ya kuchoma... agiza na vinjwaji to your full, all on me. 😀

asante kwa kunielewa. tena umeelezea vizuri zaidi.

ila niseme niliwaza tittle kwa kiingereza, "My plea to the mzungu" ndo nimeitafsiri hivyo. ukiwa English na kiswahili hujui ni shida!
 
Haha housegirl bana. Umesema kuwa kuna wanawake na mifugo tu, okay. Hujafika mbali, unashangaa mifugo hiyo kujilinganisha na mifugo...? Mara wanaume wa kuhesabu.

Am I the only slow kind here?
hiyo ya wanaume wa kuhesabu niliweka nilipoEdit kupunguza mashambulizi 😀

but you get it , don't play semantics.
 
, TUKUZA ASILI YAKO HOUSE DADA. AU JICHUBUE ILI UONDOKE KATIKA FAMILIA YETU HII YA MANYANI.[/B]
nimeita masokwe wanaume wenye kupractice domestic violence. kama you're among them you're a sokwe!
 
Hata wanawake pia wapo wenye kupractice domestic violence pia, so basi wote ni masokwe!!!
kkjddk.jpeg
 
shairi zuri lakin sijaelewa kitu kimoja...
yan hapo katajwa mzungu au mungu...

daah kudadeki kama katajwa mzungu bas housegal umefeli kwa kumuona mzungu mali kiasi iko
 
Back
Top Bottom