Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,566
- 28,527
Mithali 29:2*
“Watu wa haki wanapokuwa na mamlaka, watu hufurahi; Bali waovu wakiwatawala, watu huugua.”
Uhafanuzi
Neno hili linaonyesha kwamba uongozi wa haki huleta furaha na amani kwa watu, lakini uongozi wa waovu huleta mateso na huzuni.
Tuombe
Ee Mungu tunakushukuru kwa neema hii ya maisha, tunakuomba uwainue viongozi wa haki, wenye moyo wa kukutumikia wewe na kutenda mema, utufunike kwa Damu ya Yesu Kristo na tuongozwe na Roho Mtakatifu, tunaomba viongozi wetu waongoze kwa haki na uadilifu,uwaondoe waovu kutoka madarakani, ili watu wako waishi kwa furaha na amani.
Amina