Sala ya kumwombea adui

Sala ya kumwombea adui

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1469996_318905321583131_959502441_n.jpg
 
kuna nzuri zaidi ya kukuwezesha kuwatambua maadui zako...
''Ee Mungu,Mwenye Enzi,nakuomba uwang'oe maadui zangu meno ya mbele ili wakitabasamu niwatambue kwa mapengo yao'' kisha unatupia amen!
 
kweli duniani kuna mambo, wakati wewe unamuombea njaa adui nawe kuna mtu anakuombea njaa
 
Adui yako muombee shibe ili unapofanikiwa ajionee kwa macho.....
 
hivi ulikuwa unawaza nini mpaka kutuwekea sledi kama hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom