Sala ya baba yetu kisharobaro

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,417
BABA YETU KISHAROBARO

Baba yetu unasizi majuu ,jinalako lihit sana utusome na mamkate mabaga na mazagazaga..utupotezee tukiharibu baab kama na sisi tunavowachukulia poa washkaji wakizingua, one time nini usitupe masoo ya kutupimia na utuokoe kwenye masoo ,ameen meen
 
BABA YETU KISHAROBAROBaba yetu unasizi majuu ,jinalako lihit sana utusome na mamkate mabaga na mazagazaga..utupotezee tukiharibu baab kama na sisi tunavowachukulia poa washkaji wakizingua, one time nini usitupe masoo ya kutupimia na utuokoe kwenye masoo ,ameen meen
Ndugu, wenyewe masharouharo wanaweka neno "men" kila mwisho wa sentensi!!
 
wakati wa kushiriki sakramenti..

Padri vipi mrija meen

Na baada ya kupata sakramenti..

Hey meeen, naomba tisu meeen,

Kupiga magoti kwa maungamo..

Wazee wa kanisa..., hakuna sponchi meeen,
 
BABA YETU KISHAROBAROBaba yetu unasizi majuu ,jinalako lihit sana utusome na mamkate mabaga na mazagazaga..utupotezee tukiharibu baab kama na sisi tunavowachukulia poa washkaji wakizingua, one time nini usitupe masoo ya kutupimia na utuokoe kwenye masoo ,ameen meen
oooh....!!mmmaaa...ma!!
 
Hahahahahaaaa, that was so funny meeeen.......
Wakuu hapa tunajifurahisha na hakuna mtu aliyekusudia kumkwaza Mungu..
Acheni kumhukumu mleta mada manake hata vitabu vinatuonya, tusihukumu ili nasi tusihukumiwe..
 
it isnt fun! mwogopeni Mingu jamani. hamuoni laana inavyotupiga? ni shauri ya hofu ya Mungu kukosekana hasa kwa wale tuliowapa dhamana ya kutuongoza. Mmemsikia Rev. Adamhajj Mohammed?
 
Back
Top Bottom