Sala (kwa wanawake tu)!!!

Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,437
5,146
Ifuatayo ni sala ya kuombea chupi ya mume baada ya kuifua:-

"Baba naiombea chupi ya mume wangu anapotoka katika nyumba hii, ivaliwe hapa na kuvuliwa hapa tu, kama ataivua sehemu nyingine iwe ni kwa ajili ya kukojoa au kunya tu, baba naikabidhi kwako ikuwa safi. Kama ataivua kinyume na niliyosema basi Baba "DUDU" yake ikapigwe na upofu isione tundu inalolitafuta..natanguliza jina lako Baba amen!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…