Sala kabla ya tendo la ndoa...

Hili ni jambo gumu hasa kutokana na malezi yetu kuwa hili ni tendo la "aibu" ,kama tungelelewa vingine ingekua kawaida tu!

Inawezekana ni kweli kabisa unachosema, malezi na tafsiri ya tendo lenyewe yanaweza kutufanya baadhi yetu tushindwe kupiga sala kabla ya kushiriki tendo ...!
 

Hahahaaa! burdaan sana....kweli Lady doctor unasali? shughuli kiendelea huku unasali si utaanza kunena kwa lugha kweli!
 
Last edited by a moderator:
Mungu aliposema anachukia kuachana, alikuwa na maana anachukia watu kutokaa ndani ya ndoa na kufanya kitendo hicho (Kula Papuichi). Hii ina maana usipokula Papuchi Mungu mwenyewe anachukia kwani aliishaibariki ndoa tokea bustani ya Eden.

Sasa wewe unataka uanze kumsumbua Mungu tena aanze kuwasikiliza wakati yeye anasubiria kitendo bila kuchelewa ili siku ya Kiyama apate Umati mkubwa. Mnamlazimisha Mungu aje kuwapiga chabo wakati alishawapa ruksa Toka eden na vile vile siku ya harusi yenu mlibarikiwa na Mtumishi wa Mungu mbele ya Mungu wa Dunia (Baba na Mama), unataka nini tena.

Mnataka kunifanya nifunguke zaidi bure, ngoja niishie hapa kwa leo niwapishe wengine bitarudi baadaye.
 
Taz, sala yako nimeisoma mara2 mbavu sina, wee mkali kwa maombi
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Taz
Hata kulifikiria sijawahi..haha! wengine hata wasaa wa kuvua pichu wanakosa, leo unawashawishi wasali?..
Sometimes ukitingwa nikiasi cha kusogeza tule tukamba kando unakula chakula kwanza utamu ukikolea kwenye kubadili mkao/wenyewe wanaita miondoko ndiyo unatuvua kabisa maana ukitoka na twenyewe tunaweza kurudi na kuziba njia, halafu ikawa shughuli meli kugonga ukingo.
 

Ntake radhi mkuu... yaani huoni ndevu zangu! teh..
 

ha haaa, bora wewe ulikuwa mfanyakazi na una hela za card, wengine tulikuwa wanafunzi, mbona tulijifunza art bila kutaka! ila sms zimeondoa ladha yooote ya yale mambo jamani
Mlikumbuka na kupulizia pafyumu hizo kadi na barua zenu jameni, maana mimi nilikuwa na shughuli ya kununua pafyumu mara kwa mara kwani ilikuwa ina kazi nyingi.
 

kama unaiba ndo uombe hata mungu akusamehe,ila kama ni tendo la ndoa limeshabarikiwa siku ya ndoa unabariki nn tena kama sikutafuta dhambi
 
Ntake radhi mkuu... yaani huoni ndevu zangu! teh..
Mkuu tule tupichu twa tukamba hatuna umri wa kuvaa. Kuna siku nilikuwa duka moja mitaa ya Posta akaingia mama mmoja mkubwa kiumri zaidi yangu tu akamaugiza mwenye duka, " nipe ule mzigo wangu wa kila siku". Nikashangaa muuzaji akimfungia uto tupichu twa kamba. Ikabidi nichekeleee kimoyo moyo tu, nikasema ama kweli fasheni haina umri.
 

hili linawezekana kwa wanandoa kabisa lakini kwa wazinifu huu ni mzigo mzito ambao hawawezi kujua waanzie wapi kuubeba
 
do! leo nimekutana na smile ya asubuhi naimani siku itakuwa nzuri sana.
kwetu tulianza wiki chache zilizopita wife alianza na kwakweli zinaleta matunda likini tunavyo fanya ni kumshirikisha roho mtakatifu katika tendo zima na mwisho kumshukuru.
jaribu na utaona furaha yake na hasa wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…