Asant AminaAsante nafanya sala maalum pia kwa ajili yako na wasafiri wengine hapa nilipo
naomba upite pm tafadhali @mshanajrUna haki kimtazamo kusema hivyo lakini nahofia hili litageuzwa la kidini na kuanza mtifuano usiojenga...BTW ishu ya Israel na Palestine ni zaidi ya sisi tuijuavyo
Asante kwa ujumbe huu, naomba kufahamu tofatuti ya Maombi na duaKwa waamini na waaminio,
Maisha yetu ni sawa na utando wa buibui cobweb! Yakiwa yana nguvu asili ya Kimungu (kwa waamimio)kutoka katikati, siku zote timeshikliliwa na nguvu hiyo na ndio inayotusaidia kuweza kusonga mbele.
Kuna hili la sala na dua kufuatana na imani zetu, hili jambo lina nguvu kubwa mno ya kutuokoa toka kwenye majanga mengi. Hapa sizungumzii utaratibu wa kawaida wa ibada zetu bali maombi na dua za kimya za mtu binafsi popote alipo na lolote alifanyalo ukipanda gari ukiingia mahali popote ukila chochote ukiongea chochote, piga dua yako ya kimya kisha fanya utakalo(lisiwe baya tu lakini).
Sala yako na dua yako kwako binafsi na kwa wengine ni tiba kwako na kwa wengine ni msaada mkubwa kwa ulimwengu wa roho.
Tunakutana na kesi nyingi za ajabu matukio ya kushangaza mno, inatokea ajali mbaya unasalimika au hata kama umepata majeraha unasaidika kwa haraka na vitu vyako vya thamani havipotei hata kimoja.....matukio ni mengi mifano ni mingi.
Inatosha tu kusema dua na sala yako ya kimya ni tiba na uhai wa dunia. Kwa kila neno moja utakaloomba kwa sala ama kwa dunia unaleta matokeo chanya katika ulimwengu wa roho.
Basi hapo ulipo sasa na unapofungua uzi huu fanya sala/dua ya kimya ukiomba amani ya ulimwengu na ustawi wa dunia...bila kuisahau familia yako, ndugu zako jamaa na rafiki, taifa lako na wale wote wanaopitia nyakati ngumu sasa.
Kwakuwa wakati uki JF ukiperuzi na kugombana na watu kuna watu wako hospital katika hali mbaya magonjwa ya ajabu yasiyotibika, wengine mahabusu wengine gerezani kwa kesi za chuki visasi na kusingiziwa, wengine wako kwenye mtanziko mkubwa wa madeni na mambo magumu mno.
Omba sasa fanya dua sasa ikimbuke na JF.
Asante sana.
Kuna jamaa mmoja kijijini kwetu kipindi hichooo
Niko mdogo na kimbiza tairi ya baiskali na kijijiti
Bila viatu. Hahahhahahahhaah. -🙂.
Huyu jamaa anajulikana ni mwizi pale kijijini.
Sijui amepotelea wapi siku hizi .
Niliwahi kumuuliza hivi we mbona unaiba sana
Na haukamatwi? ??
Nakumbuka akacheka nakusema hakuna alie wahi kumuuliza hivyo.
Anyway aliniambia kabla hajaenda kuiba huwa anasali sana kimoyo moyo asikamatwe.
Nami nika muamini. -: )
Kaka kibaka kaokika siku hizi anachapa tu injiliHapana ila zile nyimbo zina nguvu ya ajabu
Kuna nguvu ya ajabu kwenye hizi dua na maombi ikifika mahali akili imegoma ita jina lake yeye alie juu yeye mweza wa yote
Kweli shetani mbeba lawama...Umenifungua mkuu ninaamini sala kwenye maisha ni muhimu sana, ngoja niwape ushuhuda kidogo jana usiku sijasali kwani ni kawaida yangu kusali kila siku na nilikuwa nimejipanga kutuliza akili kwa mda huku nikijitenga na uovu wote, ila kutokana na kutokusali jana leo nimeamka nikiwa na uchovu sana, shetani akaniingia nikampigia mchepuko wangu nikaugegenda na nipo nao hapa bado natafakari kilichotokea kwani na shetani alivyowaajabu nimeupigia tu simu ukaniambia npo maeneo yako nakuja.
Kwakweli inabidi nijitafakari, ila kama kijana kipindi hujaoa utaishije??Kweli shetani mbeba lawama...
Hivi imagine we ndio shetani, tuhuma kama hizi ungezikubali? Kwa sababu hujasali ndio mchepuko umekuja, wakati Kitendo cha kuwa na mchepuko tu sio sawa kimaadili...
Sala zako huwa unatwanga Maji kwenye bakuli.
Aaaamen Bujibuji kwa neno la uzimaMatendo ya Mitume 4: 11 Yeye ndiye jiwe lile lililodharauliwa na ninyi waashi, nalo limewekwa kuwa jiwe kuu la pembeni.
12 Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.