Sala, dua na maombezi ya kimya

Sala, dua na maombezi ya kimya

Tumefundishwa jinsi ya kuomba. ..maneno ya Mungu yanasema hivi. ...basi usalipo fanya hivi funga mlango wako sali na baba yako aliye sirini atakujazi. ...nisingependa leo niende huko hiyo ni mada nyingine lakini
Mungu wetu sio kiziwi hata tumpigie kelele

kabisa SEMA WENGINE WANAFANYA BINADAMU TUWAONE
 
Nyimbo za Tenzi za Rohoni zina nguvu ya Ajabu kivipi Mshana??
Ulishawahi kuziimba? Kwenye Ukristo kuna vitabu hivi mwimbieni Bwana Tenzi za rohoni na vingine ...Tenzi za rohoni hutumiwa na madhehebu mengi na nyimbo zake kiroho hufanya maajabu
 
Leo umekuja vzr mshana jr hapo naunga mkono 100%. Kabla cjafungua uzi huu nlikuwa nasali kumya sababu ndo nimeanza safar kutoka mkoan kwenda dar. Kwa iman tutafika salama. Naamini sana sala za kimya na zimefanya kazi sana kwangu na nnaowaombea..
 
Asante nafanya sala maalum pia kwa ajili yako na wasafiri wengine hapa nilipo
 
Back
Top Bottom