huna jipya! do ur h/w katika kitabu chako alafu uje na points za kuongea!:becky:The head in reference is not the one with ears and eyes its like the head of state....and the instistance for women to cover themselves in not all the time but rather during when a woman prays or prophesies .......
"O Prophet, tell your wives and daughters and the believing women that they should cast their outer garments over their bodies (when abroad) so that they should be known and not molested" (Quran 33:59).....so there was molesting....sasa penye sheria za kuzuia molesting kama TZ mahijab ya nini....abroad ni wapi?
Kwa nini kama wanajua ni haki kumwaga damu ya mwenzio wasimuue kipindi hiki cha kufunga?
Kwanza sio kuuwa! sema HUKUMU! ... haiwezekani kwasababu huu ni mwezi mtukufu!Kwa nini kama wanajua ni haki kumwaga damu ya mwenzio wasimuue kipindi hiki cha kufunga?
siwezi kwasababu mtume kasema hatuwezi kutoa hukumu hizo unless katika nchi 100% inaendeshwa na sharia! ntakuwa nimepata dhambi! kama ningekuwa IRAN! na nimekubali kuishi chini ya sheria za IRAN WHY NOT!Hivi we njiwa akiletwa pale Jangwani Dar, utakuwa wa kwanza kumuua kwa Mawe?
Unapo mpiga na kumchoma MOTO kibaka aliyeiba simu yako feki ya china! hilo ni halali!... wakristo wa bongo bana! Vichwa majii kabisa! napoteza tu mda wangu kuwaelewesha watu wasioelewa ila habari ndo hiyo! hukumu ya wazinifu ndani ya ndoa kifo!... wa nje ya ndoa viboko 100 hadharani,... huridhiki hama nchi!Inasikitisha sana.
huna jipya! do ur h/w katika kitabu chako alafu uje na points za kuongea!:becky:
Eti kitabu chako ni Quran! haha!:becky:.. labda ile ambayo imekuwa edited na wewe..! inakuwaje sheria zake unaanza kuziponda alawafu wasema ni kitabu chako!. basi nenda kakisome vizuriKitabu changu ni Koran sasa weye wawashwa nacho vipi :eek2:
Hiyo ni hukumu ya kifo, usilete usilete kiswahili. Ni kipondo cha mawe na si kupigwa kwa kipande cha kanga.
View attachment 13495
Afu toa hiyo avata, unaidhalilisha.
Inahitajika elimu ya kina juu ya mahakama ya kadhi kwani watu hawaijui ila wanajifanya wanaijua sana.Wewe unalako...na umeshaonyesha ufinyu wako wa kufikiri hapa...Zanzibar kuna Mahakama ya kadhi kule hicho unachokihofia na kulinganisha kimetokea?...acha hizooo!!
View attachment 13443View attachment 13444
Huyo kisura anatakiwa apondwe mawe huko Iran hadi kufa, baada ya mfungo wa Ramadhani.
Oooh!! God.:A S cry:šray2::amen:
uislam sio imani tu kama unavyotaka tuamini, uislam ni mfumo kamili wa maisha. Kuanzia sheria, uchumi ,siasa na mambo yote kama vile agano la kale la biblia linavyotaka kabla
" Sisi Tunaomba kura ili tuweze kuwaongoza watu wote Tanzania bila ubaguzi wa rangi,dini wala kabila"acha uongo huo ni uchawi na mahusiano ya mwanadamu na majini,