Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

TE="Lizaboni, post: 18333319, member: 138049"]Ungeanza kwanza kutomwamini Mbowe kwa vile alishakula Bilioni 10 za Lowasa[/QUOTE]

Leta ushahidi wa mbowe kula za lowasa sio porojo tuuuu mxe(ngerema),kweli wew
 
Ni hatari sana kwa usalama wa taifa kama chombo cha kutunga sheria kinahongwa. Alafu eti Ninapinga ufisadi nyooo!
 
Hapo ndo mmeng'ang'ania
10 mil corruption hamtok popote
ngoja tusubiri tuone yaani mpk leo hujamjua kiongozi...specialist in failure kama kocha wetu wenger...kesho atakuja na swaga nyingine...hilo sio la kwanza na i bet ushahid hatoi...ukuta chali....au ndo ukuta unaendelea
 
Siyo siri namwamini sana rais hasa kwenye vita dhidi ya rushwa na ufisadi
Aah OK,
Basi subiri utayaona mengi, ila shaka yangu sijui kama utaamini.
Ulishawahi kusikia Rais akitamka neno "Lugumi" toka ashike nafasi hiyo ya Uraisi.? Kama bado Unahisi ni kwa nini?
 
Ungeanza kwanza kutomwamini Mbowe kwa vile alishakula Bilioni 10 za Lowasa
Lizaboni hilo la rushwa ambalo hata Mbowe hakulisemea pembeni bali mbele ya Bunge lenyewe, wabunge wakiwamo, PM mwenyewe yupo halikutii mashaka bwana mdogo? Na kwa nini NS katumia nguvu kubwa kuzuia lisijibiwe?
Hili jambo kama Ccm mngepiga kelele kumtaka Mbowe ushahidi kwa vile limewakera kama kweli rushwa imetolewa tungepata mashaka kuwa pengine halina ukweli, lakini nyie mnaleta mipasho ya kwenye kanga.
Kwa taarifa yako nimetonywa na mbunge mmoja wa ccm kuwa ni kweli kuwa walipewa fedha na kisa cha habari hiyo kuvuja ni kuwa wamewabagua sana. Kuna wachache ndio wamekula ten ila wapo walioambulia moja moja tuu. Hasira zikasababisha kumwaga mchele
 
Tatizo hapa Tanzania hakuna chombo huru hao takukuru wameteuliwa na mkulu. Hao polisi ndio kabisa wanatumika! Hatuna chombo huru kama Kenya vyombo vyajichagua wenyewe mnaona live kwenye citizen sio huku binge lajifungia kama wachawi
Hamieni Kenya basi.Anaposema hadi aombwe ana maana aombwe na nani?God bless lema yuko Ndani mkewe yuko peke yake napendekeza mke wa Lema tumtume akamwombe MBowe huo ushahidi usiku huu autoe.
 
Salam,

Nilikuwa naangalia habari za alasiri kupitia Azam two, imeripotiwa kuwa Mbowe amefanya press kuelezea sakata la milion 10 kwa kila mbunge wa CCM.

Katika video hiyo fupi anaonekana mbowe akitumia maneno makali kuelezea namna ambavyo wabunge hao walipokea hizo pesa na kusaini karatasi maalumu ya kukiri kupokea pesa hizo.
Mbowe: "................, na wamesaini kabisa, walivyokuwa wapuuzi hawa.............."

Amesema kuwa ana ushahidi na akitakiwa kuupeleka atafanya hivyo na Hana mashaka na ushahidi wake.

Nimejaribu kuitafuta hii video mitandaoni naona bado hawajaitupia.

Neno langu:
Mukulu afanye namna hii pesa irudi, itamtafuna.
Hivi kweli kwa akili yako ndogo kweli CCM wanahitaji kuhonga ili muswada upite? hivi umechoka kufikiri?
 
Hata hili unaliletea uchama mkuu,... Zaidi ya billion moja kwa ajili ya kuwafung watu midomo, Na wadogo zangu wa vyuo hawana mikopo??? Hebu weka itikadi pembeni asee.
Hivi 1bln na 15bln alopewa m/kiti wa malofa ili alipokee na kulisafisha jizi,jambazi,tapeli na fisadi lililo kuu zipi nyingi?!
 
habari wana jamvi,

Leo nimesikia tuhuma kuhusu wabunge wa ccm kupewa mil 10 kwa kila mbunge

nimepata mkanganyiko sana kuamini na kuelewa kuhusu tuhuma hizi.

kama kweli mheshimiwa mbowe ana ushahidi wa jambo hili weka hadharani ushahidi ili tukuamini isijekuwa anatengeneza umaarufu wako binafsi na chuki kwa wananchi na serikali yao

nawasilisha.
 
mbona mnapanic
 
Hata ushahidi wa lowassa fisadi walisema wanao na wakihitajika kuutoa wangeutoa, mpka leo hamna kitu! Wabunge wote wa sisiemu???? Kian Hussein Bashe nao wamepokea mzigo???Hapo tu keshadanganya!!
Chadema na mbowe kwa ujumla wamepoteza credibility ya kuaminiwa na watanzania wengi wanaojitambua, watanzania wachache kama bavicha watakuja hapa kukenua meno.
Umeongea ukweli mkuu
 
habari wana jamvi,

Leo nimesikia tuhuma kuhusu wabunge wa ccm kupewa mil 10 kwa kila mbunge

nimepata mkanganyiko sana kuamini na kuelewa kuhusu tuhuma hizi.

kama kweli mheshimiwa mbowe ana ushahidi wa jambo hili weka hadharani ushahidi ili tukuamini isijekuwa anatengeneza umaarufu wako binafsi na chuki kwa wananchi na serikali yao

nawasilisha.
hawezi kuwa na chuki na wananchi,, kwa sababu gani
 
habari wana jamvi,

Leo nimesikia tuhuma kuhusu wabunge wa ccm kupewa mil 10 kwa kila mbunge

nimepata mkanganyiko sana kuamini na kuelewa kuhusu tuhuma hizi.

kama kweli mheshimiwa mbowe ana ushahidi wa jambo hili weka hadharani ushahidi ili tukuamini isijekuwa anatengeneza umaarufu wako binafsi na chuki kwa wananchi na serikali yao

nawasilisha.
wanaotakiwa kuomba ushaidi ni wewe au spika....................... Spika alijua kuwa ushaidi upo ndio maana akaa kimya,
 
Back
Top Bottom