Kwa namna Mbowe alivyoshambuliwa na Wabunge wa CCM sidhani kama Maridhiano yatadumu!

Kwa mashambulizi ya Wabunge wa CCM dhidi ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe leo pale Bungeni naona Maridhiano yako shakani

Bila Mbowe kuomba radhi nayaona Maridhiano yakitamatika!

Mlale Unono!
Wale ni empty headed baboons, hamna kitu pale. Mbowe ndio kaleta Hilo li kampuni? Waache ujinga. Tuliwahi kusema mengi sana kuhusu Magu na yote yanaendelea kutimia, the same kwenye hili, muda utaongea
 
Kuna watu walileta taharuki for cheap popularity gain.

Leo Halima Mdee kataitiwa kakosa hoja.
Taharuki walioileta kina Mbowe haikuwa na sababu yoyote.

Walikuwa wanaweza shauri naa ushauri wao ukapokelewa.
 
Some member of parliaments are wanton using Mbowe's remarks as a weapon to divert our mind from concentrating on the pressing issue .Issue hapa ni terms za huu mkataba ndio zinatakiwa kujadiliwa na sio mambo mengine.
 
Hayo maridhiano anayeyatambua ndani ya CCM ni huyo huyo anayekutana naye!

Maridhiano yasiyo na kamati uliyaona wapi wewe?

Kwa mashambulizi ya Wabunge wa CCM dhidi ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe leo pale Bungeni naona Maridhiano yako shakani

Bila Mbowe kuomba radhi nayaona Maridhiano yakitamatika!

Mlale Unono!
Hata hivyo hatukuwa na imani na hayo maridhiano ya Mbowe na Mama Samia. Mbowe atajuana na hao wahuni wa CCM na hayo maridhiano uchwara.
 
Kuna watu walileta taharuki for cheap popularity gain.

Leo Halima Mdee kataitiwa kakosa hoja.
Taharuki walioileta kina Mbowe haikuwa na sababu yoyote.

Walikuwa wanaweza shauri naa ushauri wao ukapokelewa.
shauri wewe dalali wa muuza watumwa
 
Kwa mashambulizi ya Wabunge wa CCM dhidi ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe leo pale Bungeni naona Maridhiano yako shakani

Bila Mbowe kuomba radhi nayaona Maridhiano yakitamatika!

Mlale Unono!
Is this some kind of intimidation or what..?

Propaganda za kijinga na kipumbavu kabisa..

Wewe unajua..

CCM wanajua..

Samia Suluhu Hassan anajua..

Na hao nduguzo wabunge wa CCM wanajua fika..

KWAMBA;

Ili nchi hii iwe salama, CCM na Rais Samia Suluhu Hassan wanaihitaji zaidi CHADEMA kuliko wao CHADEMA wanavyowahitaji CCM na Samia..!

I understand that, utaguna na kung'aka. Lakini this is very undisputed truth...

Kama huamini hili, nenda kamuulize mwendazake John P. Magufuli huko aliko..
 
Kwa mashambulizi ya Wabunge wa CCM dhidi ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe leo pale Bungeni naona Maridhiano yako shakani

Bila Mbowe kuomba radhi nayaona Maridhiano yakitamatika!

Mlale Unono!
Ukikumbuka Samson na delila utaelewa kuhusu hayo makubaliano
 
Back
Top Bottom