Itakuwa ni Aibu kwa Serikali makini kuacha watu wana tengeneza vyeti feki vya ndoa na kisha kuvitumia kuvunja sheria ya nchi wakati tuna Serikali sikivu na makini. Pia watu wanadiriki kuvitoa hadharani ili kuudanganya umma kuwa kila kitu ni shwari.
Kwa serikali yetu sikivu kulinyamazia swala hili itaondoa umakini ambao umeuonyesha toka mwanzo wa awamu hii ya tano. Kuna cheti ambacho kimetolewa kwenye mitandao ya kijamii kwa lengo la kudhihilishia Umma kuwa ndoa ilivyunjwa rasmi kisheria wakati sio kweli. Kwa maana muhusika anakataa kuwa hakitambui cheti hicho kwa maana hajarudi Tanzania toka alipokuja kuzika baba yake mwaka 2012 mwezi May.
Serikali sikivu tunaiomba ifuatilie jambo hili kwa umakini na kuondoa makando kando yote. Nawakilisha na cheti husika amabcho mwanaume amekitoa kwenye mitandao kama ushahidi wa Talaka yake.
1. Cheti fake
2 & 3. Ndoa ya kwanza
4 & 5. Ndoa ya pili