Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,213
- 2,812
Nashindwa hata namna ya kuliweka swali langu lakini nadhani maelezo yafuatayo yatafafanua swali ninalouliza
Watumishi wakitaka kuingiza taarifa za wenza kwenye maswala ya kikazi wanaambiwa walete vyeti vya ndoa.
Kwa wale waislamu wakipeleka cheti cha ndoa kilichoidhinishwa na BAKWATA wanaambiwa cheti hiko hakitambuliki serikalini.
Kuna vyeti vya ndoa vya serikali wamekabidhiwa watu maalumu (wananunua) kwajili ya kusajili ndoa kwa wale wenye cheti cha BAKWATA
Cheti hiko alikwenda jamaa yangu ambaye anajiita hana dini akakihitaji kwa yule mtu akaambiwa mimi sikuandikii maana hapa huwa naandikia waislamu wenye vyeti tu
Jamaa akalazimisha na mzee kwa tamaa ya sh25000 na kuona cheti chenyewe hakimfungi yeye maana hakuna saini wala jina la msajili, basi akamsajilia
Kufika huko kinapohitajika wakambwambia aende kwanza kwa Mkuu wa Wilaya kikahakikiwe
Kwa Mkuu wa Wilaya kufika anaambiwa atengeneze kingine "CHA KISERIKALI" kama yeye hana dini. Jamaa akasema ngoja nikajipange tena
Sasa swali langu hapo nadhani limeeleweka kwa kiasi chake