Sakata la vyeti feki Daudi Bashite Vs Makonda Paulo

Sakata la vyeti feki Daudi Bashite Vs Makonda Paulo

Ili hayo yote uliyosema ya kiuchunguzi yafanyike ni lazima kuwe na utashi kutoka kwa vyombo hivyo au mamlaka iliyomteua, kama hamna utashi huo unadhani uchunguzi utafanyikaje?

Kwa mazingira ya sasa nguvu pekee ya wananchi walio wengi ni kusema na kusema na kusema tena!

Suluhisho pekee ambalo kwa kweli ni rahisi mno kuliko hata huo uchunguzi unaosema ni kwa bwana mkubwa kujitokeza na kuonesha vyeti vyake basi!
Kweli aisee
 
ahamishiwe kitengo cha madawa ya kulevya maana kwa mujibu wa mashabiki zake yeye pekee nchiii ndo kiboko ya wauza unga na akifika huko achague jina la kutumia kama ni Daudi au Paulo au aende mahakamani akaape tena kubadili jina ajiite petro maana anapenda majina ya watu wema wa kwenye biblia
asihamishwe kitengo, bali afungwe kutokana na kutenda uhalifu wa kununua vyeti vya mtu. mhalifu huhamishiwa gerezani
 
Siwezi kukuzuia kuwa na mtazamo negative kuhusu mtizamo wangu, that is normal na ndio uhai nchi. Ukikuta mtu anandika kitu na comment zote ni ndio mzee hiyo jamii inaweza kuwa mfu. Kumbe basi siwezi kukulaumu kwa hilo, lakini ukinisoma vizuri juu ya nilichoaandika hakuna sehemu namtete huyo aitwaye Bashite, lakini siwezi kumhukumu direct as if nina ushahidi mkononi. Sijazaliwa Koromije ladda niseme namfahamu, sijasoma naye na sijawahi kuonana naye ana kwa zaidi ya kumuona kwenye media, mimi sio mwanasiasa kama yeye na wala sipo hapa kutafuta mvuto kwa mtu yeyote yule.

Kama Mtanzania wa wakawaida kabisa na mtumiaji wa mtandao ya kijamii kama jf ambapo ni member wa siku nyingi tu, ingawa ni msomaji zaidi kuliko kuchangia, leo nilidhani ninaweza ku share mtazamo wangu kuhusu hilo swala la DAUDI BASHITE, Lakini sio kwa lengo kwamba kila mtu awe na mtizamo kama wangu ama kutafuta mvuto kwa mtu yeyote. Mvuto ninao kwa mke wangu na familia yangu na labda sehemu yangu ya kazi, siwezi kuhitaji mvuto hata kwa watu tusiofahamiana kama hapa jf ambapo majority tunatumia majina feki, maana naweza kuwa na argue na wewe hapa kumbe tupo ofisi moja ana next door, lakini with our fake names huo mvuto unaousema sijui unakuja vipi
umeongea maneno mazuri, ila hata hivyo hujaonyesha hali ya kupenda uchunguzi wa huyu bwana ufaanyike haraka iwezekanavyo kwani hili swala sio gumu ktk kuupata ukweli. watumishi wenye vyeti feki walibainika ndani ya muda mfupi sana, na huyu Bashite wanaweza kumbaini kwa siku mojaa tu wakiamua kutaka kumbaini.

lakini pia nilipatwa wasiwasi ulipoandika maneno yaliyotafsirika kirahisi kua jamaa aachwe apige kazi kama walivyoachwa wengine mpaka wakamaliza muda wao. Binafsi mimi naona jamaa achukuliwe hatua haraka zaidi, kama wanayochukuliwa hatu wanaohisiwa ni wahalifu. wahalifu sio watu wema kwetu, tuwashughulikie bila kuwangalia usoni.
 
Nimeona utenguzi wa aliyekuwa Mtendaji mkuu wa shirika la Elimu kibaha juu ya matumizi mabaya ya ofisi, ambapo scandal hiyo iliandikwa na gazeti la MwanaHalisi, ambapo walimusiha Rais, hali iliyopelekea wapewe 48 hrs kuomba radhi ili kuepuka kufungiwa na wakafanya hivyo, lakini leo huyo mtuhumiwa nafasi yake imetenguliwa kupisha uchunguzi.

Kwa hiyo ni swala la muda, huwezi kutenda kwa kila jambo unaloambiwa, lazima uruhusu vyombo vyako vifanye kazi yake vikikamilisha unatenda kama wewe ndio mwenye mamlaka, let us wait and see
 
umeongea maneno mazuri, ila hata hivyo hujaonyesha hali ya kupenda uchunguzi wa huyu bwana ufaanyike haraka iwezekanavyo kwani hili swala sio gumu ktk kuupata ukweli. watumishi wenye vyeti feki walibainika ndani ya muda mfupi sana, na huyu Bashite wanaweza kumbaini kwa siku mojaa tu wakiamua kutaka kumbaini.

lakini pia nilipatwa wasiwasi ulipoandika maneno yaliyotafsirika kirahisi kua jamaa aachwe apige kazi kama walivyoachwa wengine mpaka wakamaliza muda wao. Binafsi mimi naona jamaa achukuliwe hatua haraka zaidi, kama wanayochukuliwa hatu wanaohisiwa ni wahalifu. wahalifu sio watu wema kwetu, tuwashughulikie bila kuwangalia usoni.

Umenikoti wrong ndg, nilisema kama hizi taarifa ni za uongo tutaendelea kumuona Makonda akiwa RC wa DSM na kama ni kweli na kwa mjibu wa comment za baadhi ya watu katika mlengo wa kisheria tutegemee kumuona Mahakamani, na sehemu nyingine nikasema tufanye kazi, hizi kelele zisitutoe kwenye mstari, maana tuna vyombo vingi vya kiuchunguzi nyenye watu wenye weredi mkubwa kabisa, acha wafanye yao. Na hapo juu nimetoa pia mfano wa Mtu wa shirika la elimu kibaha ambaye kuna taarifa ya utenguzi wa nafasi yake, is just a matter of time, let us wait and see
 
Bashite mfoji vyeti daaaa

Wakisha thibitisha beyond reasonable doubt , kwamba amefoji vyeti wamtumbue tu tena mchana kweupe kinyume chake ni sahihi pia, kazi tu
 
Hili suala limekua na mjadala usiokua na kikomo, Mh Rais kwa sababu anapenda nguvu ya vijana, amlete RC Gambo Dar es salaam kuendeleza pale alipoishia Makonda. Na iliwezekana Makonda apangiwe kazi nyingine ili kulinda heshima ya taasisi ya Rais nchini.
 
Kama kutakuwa na sakata la kufoji vyeti hakuna haja ya kupangiwa kazi nyinyine serikalini, huwezi kutatua tatizo kwa kutengeneza tatizo, vyeti fake ni haramu sio tu serikalini na hata kwenye sekta binafsi, uchunguzi ufanyike tu na huenda ulishakalimika siku nyingi uamuzi utolewe aidha hadharani mfano utenguzi wa nafasi yake na apelekwe mahakani ama kama hana kosa aendelee kupiga kazi tena hapo hapo DSM kwa naafasi hiyo hiyo ama hata zaidi ya hiyo kama mamlaka ya utezi itaona anafaa.
 
Kwa mjibu wa watu walisemea hili swala kwa mlengo wa kisheria, inaonesha ni kosa kubwa, (Binafsi sijui sheria, ukiondoa kwa mbali sheria ya ajila ambayo niwahi kuisoma), na kuna watu wamesema wana ushahidi wa kutosha kabisa kuhusu hilo sawala la Daudi Bashite Vs Paulo Makonda, mimi nikadhani labda kama kuna room ya wao kwenda Mahakamani kufungua kesi juu ya hii scandal ya ndg huyu, lakini naona wako busy JF, FB, baadhi ya magazeti basi. Ndio maana binafsi nikadhani kama hawawezi kwenda Mahakani na Makonda yuko kimya, then ni better tuviachie vyombo vyetu vya kiuchuzi kufanya kazi yake. Naamini wakimaliza tutajua ama kwa kuambiwa ama kwa vitendo, nimetoa mifano kwenye bandiko langu. Tufanye kazi jamani hizi kelele zitatutoa kwenye mstari
Kama hiki kisemwacho kimefanywa kweli na huyu tumjuaye sisi kama Paulo Makonda basi ni kosa la jinai. Na kosa la jinai linapotajwa sio wajibu wa mwananchi tena kufungua mashtaka bali Jamhuri. Huyu ni kiongozi, kama katenda jinai iliyo wazi kwa raia na serikali inafumbia macho itapata wapi moral authority ya kukemea makosa kama hayo kwa jamii? Sasa itakuwa ruksa kwa mtu kuchukua cheti cha Binamu yake na kwenda chuo kikuu kusoma kwa vile tuu huyo binamu hataki kusoma anataka kufanya biashara pamoja na kufaulu kwake.
Jinai ni jinai tuu, vyombo husika vinapo pewa taarifa vinapaswa kushughulikia na kutoa mrejesho. Na k kuna mtu katoa taarifa za uongo basi ndiye wakushughulikiwa kwa kuharibu sifa ya mtu na kuleta usumbufu. Mbona wakipokea taarifa za wauza Bangi hawasemi "kama umeona anauza bangi nenda mahakamani"?
 
Kama kutakuwa na sakata la kufoji vyeti hakuna haja ya kupangiwa kazi nyinyine serikalini, huwezi kutatua tatizo kwa kutengeneza tatizo, vyeti fake ni haramu sio tu serikalini na hata kwenye sekta binafsi, uchunguzi ufanyike tu na huenda ulishakalimika siku nyingi uamuzi utolewe aidha hadharani mfano utenguzi wa nafasi yake na apelekwe mahakani ama kama hana kosa aendelee kupiga kazi tena hapo hapo DSM kwa naafasi hiyo hiyo ama hata zaidi ya hiyo kama mamlaka ya utezi itaona anafaa.
Mkuu hebu mpe moyo unajua RC wetu anahitaji kutiwa moyo kipindi hiki, muambie tu atapangiwa kazi nyingine.
 
Mbona mnatumia nguvu kubwa sana dhidi ya Makonda kuna nini kwani?
Mbona hamlali hamfanyi Kazi kila dakika Makonda makonda kwani kuna tatizo gani?

Hizi thread za Makonda zinaboa kwa sasa
Huo ndio ukweli.
Kila mtu ndo thread anayofungua, hivi hatuna jambo lingine kweli tuzungumzie?
Wiki ya ngapi sasa? Mbona Magufuli yuko kimya? Mbona Makonda yuko kimya?
Acheni hizo habari bhana au mmetumwa na watu flani
 
IMG-20170306-WA0009.jpg
IMG-20170306-WA0008.jpg
 
huyu ni mwana mfalme vyombo vya uchunguzi viko chini ya mfalme,sie kazi yetu kupiga kelele kazi ya kutumbua ya mwingine akitaka atumbue kama hataki amwache ila ajue watu wameshajua ukweli
 
Ndo shida ya elimu ya ugoko, hata kama anavyeti vya ukweli anaogopa kuvitoa,

kuna wengine wakiambiwa watoe vyeti, watafunua mpaka vya uanafunzi bora vya STD1
Mwenye ushahidi aweke hapa mbona mnatuchosha kila dakika Makonda Makonda, wekeni ushahidi.
Hata Mimi ningekua Makonda ningekaa kimya tu sio lazima kumjibu kila mtu ni kupoteza muda na kujichosha tu
ndugu yangu nimeanza kuona umekuja kumtetea Bashite. Huyu Bashite data zote zipo wazi tiafauti na hao wa zamani uliowataja.
kama lengo lako ni kuja kumrembaremba eti aendelee na kazi wakati jamii yote haina imani naye kutokana na shutuma zake za kuhusika ktk uhalifu wa kununua vyeti, basi umeanza kupoteza mvuto.
 
Mkuu hebu mpe moyo unajua RC wetu anahitaji kutiwa moyo kipindi hiki, muambie tu atapangiwa kazi nyingine.

Kama atakuwa hajafoji vyeti mimi sina shida naye apewe hata promotion wao tu, lakini kama kafoji Mahakama inamsubiri tu hamna namna.

Nakumbuka Muhongo (Prof.) alipoteuliwa na JPM kuwa waziri wa nishati na madini kuna watu walipiga kelele, lakini mimi nikawa nikimuangalia Prof na utendaje wake nasema any way kwa vile kila mtu ana haki ya kusema acha watu waongee, lakini leo hawasemi tena, maana kazi inafanyika. Sipo hapa kumtia moyo huyo mkuu wenu wa mkoa ngd yangu Window7 , bali kusema ama kuchangia mtazamo wangu kama raia mwingine wa Tanzania.
 
Hili suala limekua na mjadala usiokua na kikomo, Mh Rais kwa sababu anapenda nguvu ya vijana, amlete RC Gambo Dar es salaam kuendeleza pale alipoishia Makonda. Na iliwezekana Makonda apangiwe kazi nyingine ili kulinda heshima ya taasisi ya Rais nchini.
hapo kwenye red tu. sio apangiwe kazi nyingine, bali afikishwe mahakani na hatimaye kufungwa kama akibainika katenda uhalifu wa kununua cheti.
 
Back
Top Bottom