Sakata la vyeti feki Daudi Bashite Vs Makonda Paulo

Mwaka 2002 akitumia cheti cha Ndg. Paul Christian alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.

Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.

Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.

Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).

Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management & Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokuwa akisoma (akawa discontinued).

Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na carries 3 ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa carry over na supplementary. Akaamua kuacha chuo.

Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.

Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community & Economic Development (CED).

Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community & Economic Development kwa jina la Paul C Makonda badala ya majina yake halisi ya Daudi Albert Bashite

Lakini sasa imedhibitika bila mashaka na mawaa yeyote kuwa Bashite hana cheti. Sasa inashangaza kuona vyuo alivyopitia vipo kimya na havijachukua hatua yeyote ya kumfutia vyeti Bashite
 
Ww inakuuma nn makonda kuwa na vyeti feki.....umepungukiwa nn kwa makonda kuwa na vyeti feki....
Wakuu mwenzenu nimekosa kazi kibwege Sana , nimeenda kwenye interview ya shirika moja hapa Dar na bahati nzuri wakaipenda CV yangu lakini tatizo likaja baada ya kuulizwa swali kwanini sifanyi kazi serikalini? Nikajibu kuwa cheti changu Cha form 4 kina typing error, nikaulizwa je hivi vyeti vya chuo ulivyoleta navyo vikoje? Nikawaambia hivyo havina tatizo, baada ya hapo likaja swali lililoniua... Hapa inchini kwenu unaajiriwa kwa cheti gani? Harakaharaka bila kufikiri nikawajibu kuwa tunaajiriwa kwa cheti Cha form 4, Country Manager akacheka na Co- ordinator. Kwa Mara ya kwanza akaongea kiswahili.... Pole sana, hata hivyo jamaa ni wastaarabu Sana kwani bado walitaka waone vyeti original ili waniajiri lakini mpaka Leo vyeti hivyo bado vipo kwa aliyekuwa mwajiri wangu na kibaya zaidi hajui kaviweka wapi na baada ya hapo nikaishia kupewa karibu tena.
 
Pascal Mayalla ndio huwa mbobezi kwenye habari za kiuchunguzi kama hizi.

Wazee mnajua kufukua makaburi, yaani nilishasahau kama niliwahi shiriki hii maada, na kwa jinsi nilivyo mvivu wa kuandika, naona hiyo siku nilipata neema kweli kweli. Nimezoea kuwasoma akina Pascal Mayalla , na habari zao zenye details za kutosha pasipo mimi kuweka hata comment yangu.
 
Back
Top Bottom