Sakata la viroba: Mselia wa Dodoma ajipiga risasi na kufa

Ni kweli amejipiga risasi chini ya kidevu huko shambani kwake Msalato, akakimbizwa Hospital ya mkoa na kufariki saa usiku, viroba kukamatwa ndio chanzo, lkn alivihifadhi na utaratibu ungefanyika wa ku repark kwenye ujazo utakiwao, habari za chini ni deni la Benki na Kodi ukichanganya na udhibiti wa mianya kubanwa kulimchanganya akakksa mshauri, kwani ana majengo mawili ya ghorofa shamba nk ambayo yangefuta kabisa hilo deni la Benk na viroba, 347/milioni
Licha ya kuwa na assets za kutosha jamaa kajiunga kisa 347 tu?.....nadhani kuna sababu nyingine nyingi ambazo hatuzijui.
 
Acha utaira wew vijana wangapi wanakufa kisa hvyo viroba,,, wengne vinawazidi mpaka wanashindwa udumia ndoa zao,,, vifo vingi vya vijana WA boda boda husababishwa na kukithiri unywaji wa viroba,,,,, Leo mtu kajiua unasingizia serikali onevu je matatzo katka jamii kuhusu vijana wanaotumia vinywaji vya viroba, kwanin usilaumu viwanda na wauzaji wa viroba........ Wakati mwingne msicoment vitu ili mradi uonekane umecoment
Haya maandiko yako hebu yaweke vice versa ili ujione ulivyo mjinga.
 
Mwache ajipige risasi,serikali ilitoa muda wa kutosha alitakiwa atumiwe common sense
Acha upuuzi na ushenzi wewe kwenye mambo ya msingi. Kama hujui jambo fumba mdomo wako. Wewe unategemea kama amenunua mzigo wa milioni 40 hata akipewa miezi mitano utatoka wote. Common sense gani angetumia hapo. Biashara halali inasitishwa unapewa miezi miwili ndio common sense. Hii ni hasara binafsi maana kumbuka kodi ilishalipwa, na mzigo upo kwa mnunuzi. Muda wa kutoa mzigo wote haukutosha na huwezi kuuteketeza. Unavyoongea jaribu kuacha ushabiki wa kijinga. Angalia mtu ametumia nini. Ni hela na maisha hapa.
 
kama alikua na shehena ya viroba ingeua watu wengi zaidi.R.I.P. mseli.
Kwani hivyo viroba vimeanza kutengezwa mwaka huu? Unafahamu alcoholic content ya Viroba? Kuna tofauti gani na hard liquors zingine kama Konyagi na Valeur za chupa? Mbona zenyewe hawajazuia kama issue ni watu kufa?
 
Mkuu una udhibitisho wa hii taarifa mkuu
Mkuu habari hii ni ya kweli na hivi sasa familia inaandaa utaratibu wa kusafirisha mwili kuelekea KILIMANJARO kwa mazishi.

Msiba upo Area D.
 
Acha akili finyu usikute mwenzio alikua na mkopo kupitia hyo biashara!
Angekuwa na akili nyingi angetafuta alternative way ya kupata hela zingine, na bila shaka wewe hujui kanuni za Nature...
Ungezijua wala usingeonyesha upimbi wako hapa
 
Wewe utakua unaumwa akili nenda mirembe ukapimwe.
Bwana Urio wa kupimwa akili ni wewe unayetetea upuuzi.

Watu wana Stock, wamelipa kodi zote za serikali, halafu unakuja kuzuia mauzo ghafla bin vuu.

Sio uonevu huu. Kwanini wasipewe muda wamalize shehena iliyopo stoo?
 
Kamanikweli basi itakua alikunywa viroba kabla ya kufanyamaamuzi. Mungu amweke sehemu anayostahili.
 
Mfanyabiashara mkubwa wa vinywaji kwa jumla pia na rejareja mjini Dodoma ndugu Wense almaarufu Mselia amejipiga risasi kwa kile kinachoaminiwa ni ghadhabu ya shehena yake ya viroba iliyokamatwa na serikali hivyo kumpelekea kuchukua hatua hiyo.
Bwana ametoa,Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.
Mungu Ametoa shetani Ametwaa
 
Mfanyabiashara mkubwa wa vinywaji kwa jumla pia na rejareja mjini Dodoma ndugu Wense almaarufu Mselia amejipiga risasi kwa kile kinachoaminiwa ni ghadhabu ya shehena yake ya viroba iliyokamatwa na serikali hivyo kumpelekea kuchukua hatua hiyo.
Bwana ametoa,Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.
Itakuwa alikunywa vikamtuma ajilipue...ndo mana tunasema havifai....r.I.p mselia
 
Lala Salama Mselia, Japo hukufanya vyema kujiondoa uhai.

Lawama zote nazipeleka kwa serikali iliyojaa uonevu.
Kajiondoa uhua huku alikuwa anauza pombe, sijui akienda kuuliza what brought you over hereatajibu nini?
 
Usifikirie viroba,yeye ni mfanyabiashara yawezekana alichukua mkopo,kitendo cha shehena kuchukuliwa maana yake inampasa kushtakiwa na kufilisiwa au hata kufungwa.
Bado haibadilishi ujinga wa jamaa, angekuwa ndugu yangu ningeenda kumuwasha makofi kwenye jeneza
 
Back
Top Bottom