MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,304
Tangu jana hapa Ar hakuna network ya LUKU na kama mtu amezoea kununua umeme wakati imebaki unit 1 basi wengi jana walikuwa gizani hata baada ya umeme wa mgao kurudi. Hili ni janga jingine la Kitaifa na hii inaonyesha TANESCO ina kansa inayokula kila idara na inasambaa taratibu na mwishowe ipi siku utasikia hakuna umeme kwa sababu nguzo zote zimedondoka chini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!