sakata la uhamiaji haramu Latia hofu

sakata la uhamiaji haramu Latia hofu

janken mbisso

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
248
Reaction score
71
wakati sakata la uhamiaji haramu liliendelea na kuchangia kutikisa upande wa magharib mwa Tanzania,limewajaza hofu watanzania waishio kinyume cha sheria ktk nchi za Zambia na Malawi.iwapo hatua hizi zitachukuliwa mikoa ya nyanda za juu kusin na nchi hizo zikajibu basi watanzania ndio. watakaoathirika zaid,Zambia na Malawi zina watanzania Wengi hasa kutoka mkoa wa mbeya waishio bila vibar wengi wao walihamia miaka mingi Sana wengne kabla ya uhuru.
nimejaribu kupitapita Lusaka ktk mitaa)za mandevu,kabwata,cchipata compound,chaisa,georg mpaka maeneo ya biashara kama kamwala na ba comesa watanzania ni wengi mno.kwa majib wa takwimu zisizo rasm Zambia kuna wahamiaji zaid ya 250000 pamoja na vizazi vyao.wengi wao ni wanyakyusa.hali ni ivyo pia upande wa Malawi. serikali ichukue tahadhari ktk hili litavuruga uchumi na maisha ya wengi,
 
Mkuu kama ni wahamiaji haramu warekebishe nyaraka zao vinginevyo warudi tu nyumbani wasije wakanyanyasika bure.

Nasikia operation Kimbunga imeingia Dar. Nadhani shule nyingi za English academia zitafungwa kwa kuwa walimu wengi kwenye hizo shule ni wahamiaji haramu hivyio hakika Kimbunga kitawakumba.
 
Mleta mada wewe ni muongo zambia hakuna nchi inayo fata sheria kama zambia uhamiaji wao wanafanya kazi 24hrs wanakwenda mpaka kwenye ma club ulizia watu watakwambia wapo makini na hawachukui rushwa hata siku moja try zambia wanafuata sheria sana lakini malawi ni useless people siwezi kukukatalia kwa zambia forget kama huna kibal wanakupeleka jela usiwe unaongea tu au wewe MRWANDA?
 
hapana kama ni mhamiaji haramu lazima urudi kwenu tu au utafute uraia ndani ya nchi unayotaka kuishi kihalali lasivyo ata kama wabongo wapo wengi katika nchi zingine isiwe ndio kigezo kutekeleza zoezi la kurudisha wahamiaji haramu makwao.
 
Tunataka watu wafuate sheria sio kuishi kiujanjaujanja,kama niwahamiaji haramu warudi kwao au watafute vibali halali vya kuishi huko.
 
Hakuna Mtu anaeweza akatuletea ushahidi huyu jamaa kajiunga lini Jf!!
 
Back
Top Bottom