Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 440
- 3,211
Internet haisahau.
Miaka 12 iliyopita katika kesi ya Lwakatare, aliyekuwa mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliwatuhumu mpiga picha wa Rais Kikwete wa wakati huo, Issa Michuzi, Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Waziri Mkuu wa sasa, Mwigulu Nchemba na bwana Joseph Ludovic aliyeibuka hivi karibuni akilituhumu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kujiingiza kwenye siasa kuwa walihusika na kuandaa kesi hiyo ya Ugaidi.
Kwa mlolongo huu, inafahamika wazi kuwa anayejiita mkereketwa na muumini wa Kanisa Katoliki Bwana Lodovick anatumika na CCM, na hana uhalali wowote wa kukosoa kanisa.
Inadaiwa, Mtu huyu amekuwa anatumika pia kwenye kazi zingine chafu za CCM, na anapewa sapoti na viongozi wakubwa ambao kila mmoja akitafakari vizuri atawafahamu.