Asante ukweli ni kuwa SIJUHI KUSOMA , Vipi wewe MSOMI? unaweza kunisaidia kufafanua Tofauti ya USAJILI wa KAMPUNI kupitia SHeria hizo za 2 cap 2 na 1 cap 2 ( Sinauwakika kwani ili nililisikia na kuona jana kwenye TV)
Kuhusu LTD pia sijuhi ila nachokumbuka Simoni alitoa mfano kwa Kubenea na kumuambia kampuni yake ni LTD na ina Unallote shares kam nakumbuka vizuri.
Nasubiri majibu yako MSOMI mimi KILAZA.
Omeongea Point Mkuu, China Na marekani, Benk za wananchi, Telecom, Usafiri bado zinabaki kuwa za serikali, eti anatokea mtu anafisafi na anabaki hai, acha KISENA Asenuke huko gerezani wengine wakina Idd Simba, Profesa Kapuya wamfuate hapo watanzania wataikoma kuila mali ya serikali maana wanatuumiza sisis walala pwiiiMarekani ikiwa ni Kinara na kiongozi wa UBEPARI, bado public transport ipo chini ya local government, HII NCHI YETU TUNAYOIGA UBEPARI BILA HATA KUTAMKA KUWA TUMEFUTA UJAMAA, tunabinafsisha usafiri wa uma. TATIZO SI UMA NI MIJITU MIBINAFSI ISIYOCHUKULIWA HATUA. inanikera sana