Sakata la PhD Feki: Dkt. Makongoro Mahanga akamatwa kwa amri ya Mahakama Kuu, afikishwa kortini

Kipindi wanatajwa mafisadi wa elimu tulishangilia kwelikweli ....lakini baada ya wengine kuhamia chama chetu hii issue ikajifia ndio maana hata hatukumbuki kwamba shujaa wetu alishinda kesi ....siasa za Bongo ....tegemea mashabiki waseme Chadema yupo mmoja waliobaki bado wapo CCM ....jibu rahisi tu ..
hahahahah za uso hizo mkuu
 
mkuu bado una muunga mkono dr slaa?
100% bila woga wala unafiki .....hapo sipepesi macho wala maneno ....uzuri ameacha siasa kabla hajafanya vitu vya ajabu ... amebaki na heshima yake ....asipoitunza nitamuweka kapu moja na Mbowe ....
 
Huyo yupo Chadema siku hizi huwezi kuona matusi humu ....angekuwa bado yuko CCM sasa .....huu uzi ungekuwa na comments zaidi ya buku ....

Kwahiyo umekubali kwamba CCM mmebaki wachache. Na kama siyo hiyo tume ya uchaguzi na katiba mbovu inayozuia matokeo tata ya uchaguzi wa rais yasihojiwe
Mahakamani, saizi CCM chaliiii .
 
Duh..! Hii Kali aiseeeee, picha ndo linaanza hivi......Makongoro Fanya mpango ulipe hiyo pesa ohooooooo utahamishia makazi Ukonga
 
Back
Top Bottom