KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,290
INAWEZEKANA! Nisilotambua ni kwamba wenye akili kama zangu hawaruhusiwi kuwa humu! Samahani, rafiki! Naahidi kujirekebisha ili niwe na akili kama zako au la, niendane na akili zako!Nahisi kama umo humu kwa BAHATI MBAYA! Sijui wewe mwenyewe unalitambua hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu anaenda na matusi kwenye vyombo vya habari...N.a. anagoma kuomba radhi.......!Waligoma kutoa taarifa za Makonda kisa aliienda na bunduki clouds..N.a. akagoma kuomba radhi...
Lissu kwaniniasirushwe na wanahabari????
Madaktali wako wanakuona ujue kuwa hujaponaumeichoka nchi? nenda rwanda kwa kagame na ulete Utundu Lissu uone. Nenda Afghanistani. Nenda Iraq. Nenda Somaria, Libya, hata Misri. Hacheni mchezo
Kiswahili gani kibovu hivi?umeichoka nchi? nenda rwanda kwa kagame na ulete Utundu Lissu uone. Nenda Afghanistani. Nenda Iraq. Nenda Somaria, Libya, hata Misri. Hacheni mchezo
Ha ha ha hata huwezi kujibu hata hoja moja ni pruuuuu paraaaaaa. Lisu kawashika mkubali badala ya kumchukia mpendeni nyie wapenzi wa Mungu mpendao ukweli.Otherwise come foward and prove him wrong.
Nchi kama North Korea .............................!!!
Kwasababu una mimba yake! Teh teh tehkwanini asinyongwe
Kwa hiyo wapinzani hawana haki yakuchunguza (scrutinise) serikali wakifanya hivyo ni wachochezi? Basi kama ni hivyo wapinzani wote wa serikali zote za kidemokrasia duniani wangekuwa wana-maelfu ya ma-kesi mahakamani. Sijui CCM ya awamu hii ya 5 inajua definition ya upinzani na kazi zake?? ''The role of the Official Opposition is to question and scrutinise the work of the Government'' Hansard, ''The Opposition’s main role is to question the government of the day and hold them accountable to the public.'' Katiba ya nchi pia inampa mpinzani haki ya kuhoji shughuli za serikali na kuweka uwazi. Kwa nini serikali mpaka leo kama inapinga tuhuma za Mh. Lissu isitoe maelezo yenye hoja? Inachofanya ni kuendelea kulaumu bila kueleza maelezo kamili kwa upande wake. Huyu Mh. Lissu ni mbunge na pia ni Rais wa TLS nyadhifa zote mbili zinampa haki ya ku-scrutinise serikali. Huu pia anaofanya ni uzalendo mkubwa wa kuhakikisha serikali inawajibika kwa wananchi wake na kufanya kazi kwa misingi ya sheria. Uzalendo siyo kukaa kimya na kupiga makofi tu kwa kila kitu kinachofanywa na serikali. Uzalendo ni kushangilia mazuri yanayofanyika na kukemea mabaya pia.Uchochezi kuhusu kuzuiliwa na kushikiliwa kwa ndege ya serikali ya bombardier
naam, utakumbukwa
Ni haki aliyopewa na katiba,kwanini msianze kwa kubadili katiba?
Nasubiri siku mahakama imtie hatiani!Ndio maana mnapigwa chini kila siku mahakamani na pesa za bondi zinarudi!Hiyo haki pia ina mipaka yake....Tuna uhuru wa kuongea ila si kuwa umeruhusiwa uongee hadi maneno yanayo leta taswira mbaya katika jamii...
Ni sawa na kuwa katika dini umeruhusiwa kula lakini sio ule hadi upitilize au ule vitu visivyofaa kula.........Umeruhusiwa kutumia dawa ila ukizidisha dawa ni sumu...
Kila kitu unatakiwa ufanye lakini ufanye kwa kiasi..
Tundu Lisu anaongea hadi anapitiliza, kama mwanamke wakizaramo !! Anatakiwa awe na mipaka ya kuongea, kwani wenzie wote wa upinzani wanaonyamaza wanaongea vitu vya maana mbona hawasumbuliwi ??
Liwe zuri yeye anabwawaja baya, liwe baya yeye anabwawaja baya...hana la heri yeye...Huo mdomo wake anautumia vibaya na sauti yake sasa...KIKI TUU ANAPENDA HUYU