mbona munakenuwa sana meno na kutoa press conference wazungu wanaokuja ikulu wakiwa na lissu wabaya na magufuli wazuri wanamwamini raisi wanaimani na vita yake ya ufisadi akiambiwa fisadi ahataki
Andika tu ila hicho kivuvuzera kinachotumiwa na wazungu koko tayari kiko central police hadi kitoe documents
Mkuu najua kuwa ni kawaida sababu tawala nyingi zipo chini ya ushetani, ila mimi na wewe hatupaswi kufurahia ushetani waoNi vitu vya kawaida tu. Kila taifa linanamna yake ktk kushughulikia wasaliti
posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
Thubutu ndo kama ndani ya wiki hajaburuzwa chini ya mitaro ya magogoni kama Ghadafi
Hehehehhehe dah watu MNA majibuniondoke mtanilipa hela ya usumbufu?
Ha ha ha, mkuu sisi ni waoga sana, tunajua kumtetea mtu tukiwa nyuma ya keyboard, yakimkuta ya kumkuta anabaki peke yake.
Unamkumbuka Ulimboka?
umepandwa na pepo!?..analindaje mali ya umma?!anazitoa kwa nani wampeleke mahakamani ndio atakazozitoa mzalendo na mtanzania kwa mujibu wa sharia za nchi anapaswa kulinda mali za umma sasa nyie mabashite munadhani hilo ni kosa kuleni nakuvimbiwa fedha za umma wakabila wakubwa nyie
Kumbe eeeeenh!? Tusubiri tuone. Hahahahahaha!Uzuri hakuna wanachoweza mfanya Lissu kwani kila anacho ongea huwa anajua nini kitamtokea baada ya kuongea alicho ongea
na wewe unaona umetoa bonge la propaganda wewe ni mshamba sana we have the right to speak hivi hamuoni nchi nzima inawazomea kwa ujinga wenu wakumfanya dikteta uchwara mtukufu what has he done in the country apart from destruction kuleni tu hizo posho za doto james lakini hatutakubali nchi muivuruge na muvunje umoja wa kitaifaThey come through official channels na appointments zinakuwa confirmed na hiyo iko wazi.
Hii ya kukutana vichochoroni na kwenye mahoteli kwa kujificha ndiyo inatia mashaka.
Hizi ni official protocols na zipo nchi nyingi duniani.
Kumnyima mtu mwingine usingizi
Umepotea!!! Long time no see.the medicine of the loan is to pay
dawa ya deni ni kulipa
lipeni maisha yaendelee
Niko hapa Waterloo njoo nikubadilishie lolHii nchi nimeshaichoka jamani ajitokeze hata msomali tubadilishane.
ha ha the assassin is here sawa bashite endelee ukidhani upo hewaniKumbe eeeeenh!? Tusubiri tuone. Hahahahahaha!
Ukisoma vizuri, mimi namtetea Lisu kuwa kuna kitu kinapikwa kumdhuru. soma vizurimuuweni tu halafu muone matokeo yake maana mwajiaminisha kwamba nyie ni miungu na nchi mumeiweka mfukoni na wananchi sio waajiri wenu
Lissu amesababisha hasara ya tzs 12bn/_ ambazo tungezilipa baadaye. Zitto ampelekee chakula (sambusa na vitunguu) polisi sentro.Mmeshatupa hasara kwa maamuzi yenu ya kukurupuka bado mnaendelea kutupa hasara kwa kuendelea kukurupuka kwa kuwakamata Watu (Raia) wanao hoji hasara ya ukutupukaji wenu ...
Atavuna alichopandaNdiyo, na ndiye msema kweli na mwenye uthubutu, wengine unaosema ni ma.snitch, ma.coward, wanafiki na wengine wanatukashifu.
Wamuue waone kama nchi haikuchafuka.Ndiyo, na ndiye msema kweli na mwenye uthubutu, wengine unaosema ni ma.snitch, ma.coward, wanafiki na wengine wanatukashifu.