William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Baadhi ya Yaliyojiri kwenye kikao cha CC, according to the dataz:-
1. Mkataba wa Jengo:-
- Kamati kuu imeuona mkataba kuwa na kasoro zipatazo saba, na kwa mujibu wa katiba ya CCM, imeunda kamati ya wajumbe watatu; Dr. Abdallah Kigoda, Chenge, na Pindi Chana, kuupitia mkataba huo yena na kuyarekebisha matatizo hayo saba,
- Baada ya kumaliza marekebbisho waupeleke kwanza Umoja wa Vijana, kwa mapendekezo na kama mujibu wa katiba urudishwe tena kamati kwa majadiliano zaidi kabla ya kuidhinishwa upya.
Sasa naona kuna a lot of spin kwamba mafisadi wameshinda, well kwangu hapa sioni kushinda, kwa sababu mkataba ulioshinda hauwezi kutengenezewa kamati za kuupitia upya na kurekebishwa upya na kutakiwa urudishwe ili ujadiliwe tena na kupitishwa upya, lakini ni haki ya kila mwananchi kuamua exactly uamuzi wa CC ulikuwa ni nini, ingawa naona mafisadi leo wamefanya kazi kubwa ya kujaribu kuficha ukweli wa kikao lakini ninaousema ndio ukweli hasa na sio filimbi za the losers!
2. Hoja ya Nape:-
- Asubuhi Rais alisema wazi mbele ya wajumbe wote waliohudhuria kuwa uamuzi wa baraza la UV-CCM dhidi ya Nape, yeye binafsi haamini kuwa ni uamuzi wa Vijana wote wa UV-CCM, anaamini kuwa ni wa viongozi wachache sana wasiowakilisha vijana wote.
-Rais amesema kwamba uamuzi mzima ni ujinga tena wa hali ya juu sana, na kwa kauli moja kamati kuu imeyakataa mapendekezo hayo ya UV-CCM ya kufukuzwa kwa Nape au kuvuliwa uanachama wa UV-CCM na CCM kwa ujumla,
-However, Rais akasema kwamba CCM inaongozwa na katiba na yeye hayuko juu ya katiba, akasema kuwa katiba ya CCM inamtaka Nape akate rufaa kwa CCM taifa na rais ametamka wazi kuwa Nape anayo baraka yake kwenye kukata huko rufaaa.
- Rais akaongeza kuwa maneno ya Mkamba kwamba Nape hawezi kukata rufaa mahali popote ni ujinga tena wa hali ya juu, na kwamba "...maneno ya Makamba ndani ya CCM sio final authority..." alisema Rais ndani ya CC kwa hasira sana.
Again, naona kumekuwa na spin nyingi sana kwenye hili kwamba Nape ameuliwa kisiasa, no way! Nape bado ni mjumbe wa NEC, ni mwanachama wa CCM, lakini mpaka rufaa itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi hatoweza kushirki kwenye shughuli za Vijana, ingawa bado ataendelea kuwawakilisha kwenye NEC sasa does this sounds like mtu aliyeuliwa kisiasa na Nchimbi?
ni uamuzi wa msomaji na kuuchambua mchele na pumba zilipo!
3. Hoja ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga:-
- Mafisadi walikuwa wametayarisha idea ka kutaka kumkata nguvu Sitta kama walivyopania kumuondoa kwenye nafasi hiyo, kwa hiyo walimtuma mwenyekiti wa CCM Shinyanga kuanzisha hoja kwenye kiako hiki cha CC.
- Mwenyekiti huyo alismama na kudai kuwa ni lazima Sitta awajibishwe kwa kukosa nidhamu kwa serikali na CCM, kwani anahusika sana na kumkashifu rais na pia kuharibu kwa makusudi maamuzi mengi ya CCM bungeni, nia na madhumuni ilikuwa aanzishe hoja halafu wajumbe wengine waliokuwa wametayarishwa na mafisadi wairukie hoja na kumkandamiza Sitta, ili aadhibiwe!
- Kabla hajamaliza Sitta kwa hasira alisimama na kumtaka akae chini mara moja kwa sababu ni mpumbavu, "...wewe mjumbe wa Shinyanga lazima uwe na heshima na hiki kikako kizito cha taifa..." "...huwezi kuja hapa kuelta ujinga uijnga sisi tunaokosoa CCM tunaitakia mema na tunajaribu kujiweka sawa na hali halisi kwa kutetea masilahi ya wananchi sio viongozi wachache wasio na aibu wanajaribu kukiangusha chama kwa sababu ya ubinafsi..." alisema Sitta kuwa mawazo yenu ya kifisadi yamepitwa na wakati na wote huko ni wapumbavu, mje na hoja hapa sio kuleta ujinga na upumbavu!
- Holly cow! wajumbe wote kwenye kikao wali-freeze mafisadi wote wakanywea kimyaaa! Hatimaye kwa unyonge sana Fisadi Mama Anna Abdallah, akasimama na kusema kuwa hoja ya Mwenyekiti wa Shinyanga, ilikuwa ni finyu na haina mantiki, lakini akamuomba Spika apunguze jazba na pia afute kauli ya kuita wajumbe wengine wapumbavu kwamba hiyo lugha ilikuwa kali mno kwa kikao kama kile kizito cha taifa.
- Spika Sitta, akakubali kwa unyenyekevu, na kufuta kauli ya neno "wapumabavu" na "ujinga ujinga" lakini ukawa ndio mwisho wa hoja ya mafisadi.
Haya ndio niliyoyapata so far kutoka huko ndani, na kuthibitishwa na wajumbe wengi waliohudhuria kikao, kwangu binafsi nimeridhika tena sana kwa sababu this is better than ile hotuba ya rais bungeni, I mean ni better mara 100. Cha muhimu sasa ni kwa Nape kukata rufaa kama katiba invyosema, uenyekiti wa UV-CCM hilo hata yeye mwenyewe anaelewa kuwa ni out of the question na sidhani kama ana nguvu ya kutosha na hiyo nafasi, lakini the goal has been met na binafsi ninampa heshima zangu za juu na Salute! kwa kuweza kuli-freeze taifa kwa kupata a political attention akiwa ndani ya CCM, na pia ningemshauri kuwa sasa ni kuangalia mbele tu nyuma mwiko!
Mafisadi wanajua wazi kuwa lengo lao lilikuwa Nape kufukuzwa kabisa CCM, wameshindwa wala sio siri ndio maana leo wamejaribu kununua magazeti akribu yote ili kuficha ukweli wa kikao na maneno ya ujanja na wapambe wao masikini ya Mungu angalau kuna wanaowalipa, lakini wengine huwa ni kufanya kazi bure tu kwa mafisadi nawaona humu maneno mengi ya uongo mtupu, ndio maana tulingiaa hapa JF mapema, maana tulijua kua magazeti yote yalishanunuliwa ndio maana tukaja hapa kuweka ukweli straight!, Mafisadi hawawezi kutushinda wananchi wengi na wenye uchungu na taifa letu, kwa sababu ukweli tunao na tutaendeela kuwakosesha usingizi mpaka kieleweke, na tuko wengi sana kuliko wao!
Mungu Aibariki Tanzania na Bravo Nape!