Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 167
Heshima Mbele wana Bodi,
Kwa tarifa ambazo nilizipa tangu last week ni kwamba yule Kijana Mtoto wa Rais, Ndugu Ridhwani amekuwa akiendesha kampeni za kichini chini ili rafiki yake ambaye anaitwa Benno Malisa achukue Uenyekiti wa UVCCM Taifa, na vikao vya kampeni zao vimekuwa vikifanyika pale Rose Garden.
Suala la Benno ambaye ni Mjumbe wa NEC kupitia Vijana kugombea uenyekiti wa UVCCM sio jambo baya na ni jema kwa sababu ni haki yake, ila tatizo hili la kuhusika na mtoto wa Rais Kugombea ndio linaanaza kuleta picha mbaya.
Kwanini wameanza kampeni mapema sana? Je wanatoa wapi pesa za Kampeni? Sababu Beno ni mwajiliwa wa Chama cha Mapinduzi.
Tukilfumbia mamcho sula hili ndio mambo ya Kagoda yanapoanzia.
Naomba wanabodi kuanzia hivi sasa tuanze kufuatilia vikao vyao na kujua wapi wanatoa pesa na wametumwa na nani.
Pia naomba tuwajadili kwa kina wale wote ambao wameonesha nia ya kugombea uongozi wa Uenyekiti UVCCM, nimeanisha majina hapa sabbu nimepewa majina hayo ndio wanaojipanga kwuania uongozi huo
1. Benno Malisa
2. Jerry Slaa
3. Nape Mnauye
4. Zamaradi Kawawa
5. Mussa Munyeti
SOMA PIA:
www.jamiiforums.com

Kwa yaliyomkuta Nape Nnauye na Mwita Waitara, je nini nafasi ya vijana ndani ya CCM?
Alhamisi moja ya september 2006, nilihudhuria sherehe ya kumtunuku Raisi JK Kikwete shahada ya heshima ya udakitari wa sheria kwa utumishi bora toka kwa chuo cha St Thomas - MN Marekani. Tukio zima, hotuba ya Kikwete, na hotuba ya kituo cha uwekezaji kwa wafanyabiashara na wakaazi wa MN...
Nape akata rufaa CCM kupinga kuvuliwa uanachama UVCCM
Nape Nnauye aitambuka Umoja wa Vijana akata rufaa CCM Na Kizitto Noya | Mwananchi BAADA ya kimya cha muda, mgombea uenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UV-CCM), Nape Nnauye ameibuka tena baada ya kukata rufaa CCM kupinga maamuzi ya Baraza Kuu la umoja huo ya kumvua uanachama...
Tuhuma za Ufisadi alizoibua Nape: Mwita Waitara ajiengua UVCCM, adai amedhalilishwa
Msaidizi wa Nchimbi ajiengua adai amedhalilishwa Na Musa Juma, Tarime JINAMIZI la tuhuma za ufisadi alizoibua mjumbe wa Halmasharui Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Nape Nnauye ndani ya Umoja wa Vijana (UVCCM) linazidi kuitafuna jumuiya hiyo baada ya aliyekuwa katibu wake mkoa wa Tanga...