Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,018
- 144,377
Unajua tunaweza kujaa kiburi kwa kujion washindi lakini kama taarifa hizi zina utata,tunaweza kushitakiwa kwa kuchafua jina la hiyo kampuni.thats why he granted a room for compromise...
Na kinachofanyika sasa ni ccm kuwalaghai wananchi eti waandamane nchi nzima kumpongeza. Nashukuru Lissu katika hoja yake Bungeni ambayo mimi naiita "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA" ameweka wazi sana kuwa hakuna jipya hapo.Unajua tunaweza kujaa kiburi kwa kujion washindi lakini kama taarifa hizi zina utata,tunaweza kushitakiwa kwa kuchafua jina la hiyo kampuni.
Alafu unamtuhumu mtu hata ripoti yenyewe humpi sasa sijui tunaelewekaje!!
Kinachotafutwa hapa ni sifa za kisiasa na ndio maana wameanza kugeuza maneno kuwa wapinzani wanatetea wawekezaji.Na kinachofanyika sasa ni ccm kuwalaghai wananchi eti waandamane nchi nzima kumpongeza. Nashukuru Lissu katika hoja yake Bungeni ambayo mimi naiita "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA" ameweka wazi sana kuwa hakuna jipya hapo.
Wenye akili na watambue.
Hahahaaa
Sasa unadhani mamlaka ya bandari wangekubali uache kontena lako kwenye bandari likaharibu propela za meli?Kuna wakati kontena la makinikia lilizama bandarini, hao jamaa walitumia zaidi ya dollar milioni kumi kuliopoa.
Swali langu, kulikua na zahabu kiwango gani humo?
Unachotafuta utakipataSasa unadhani mamlaka ya bandari wangekubali uache kontena lako kwenye bandari likaharibu propela za meli?
Unajua gharama za kuharibu propela ya meli ? Au unadhani mamlaka ya bandari wangekubali uache kontena karibu na mahali meli zinapaki? Ili ziligonge zianguke?
Mkuu,wacha tuone mwisho wa hili sakata.Takwimu zimepikwa
Sasa wewe umeangalia makontena mwaka 2017,
Unaweka majumuisho ya jumla eti kwa kuwa 2017 tumekuta hasara hii,basi tuweke assumption kwamba ulikuwa unafanya hivyo kila Siku
Yaani kama umeiba ngombe mmoja mwaka 2017,basi tunasema kila mwaka ulikuwa unaiba ngombe mmoja,
Ushahidi wa kwamba makinikia ya mwaka 2016,2015,2014,2013,2012,2011,2010 mpaka 1998 jamaa walikuwa wanafanya kosa lilelile na kwa kiwango kilekile bila kukosea wala kuzidi wala kupungua,je tuna evidence za makontena ya mwaka 1998,1999,2000,2001,2002......mpaka 2016?
Nani alichukua sample za mwaka 1998?1999?2000?
Unatumia sample ya 2017 kutoa hukumu kwa suala la 1998,2010.....
Exchange rate zilikwaje?thamani ya Dhahabu ilikuwaje?
Tunafanyiwa usanii
Umegundua natafuta nini?Unachotafuta utakipata
Acha uzuzu wa kiwango cha standard gauge! Nani hajui kwamba hiyo siyo halisi!?Tunajua kwamba hicho sio kiwango halisi, lakini matokeo ya kamati kutoka kwny makontena 40 kati ya 270 yaliyofunguliwa hayana shaka! Na katika utafiti majibu ya sampuli uliyochagua ndio kila kitu!Kifupi ni kwamba hata ikirudiwa mara 10 sampuli hiyo itatoa majibu hayohayo! ACACIA wanajua wameshikwa, ila wanajua huu mchezo hawakuwa wanaufanya kwenye kila makontena so, watajaribu kufurukuta hata wapewe nafasi ya kwenda kupima makontena yaliyoko mgodini (they will never get it)!cheating is cheating na msemo wa kikwetu za mwizi 40!Hivi unadhani wezi wote huiba mara 40?Hawa jamaa kweli watakuwa wametuibia lakini findings za kamati hizi kuhusu viwango vya madini na hasara tuliyopata, mimi binafsi zinanipa mashaka sana na ninaona tunaweza kuja kuumbuka hapo baadae.
Ni hivi,kama mchanga tu unaweza kuwa na madini ya thamani ya trilioni mpaka 380.9 kwa kiwango cha juu kwa miaka hiyo 19,ni wazi nchi zenye rasilimali madini duniani na zenye mikataba mizuri zingekuwa ni nchi tajiri sana katika huu ulimwngu.
Cha kujiuliza, kama hiyo ni thamani ya makinikia tu,madini yenyewe(matofali ya dhahabu) yatakuwa na thamani kiasi gani kwa miaka yote hiyo?
Alafu kingine cha kujiuliza ni kwanini findings za kamati hizi mbili za sasa na ile ya Jaji Bomani zitofautiane katika data za viwango vya madini tu lakini zifanane katika matokeo mengine ikiwemo na mapendekezo?Tukumbuke hata hadidu za rejea zimeonekana kufanana kwa maelezo ya Lissu aliyoyatoa Bungeni jana huku akiwa na ripoti ya Jaji Bomani mkononi.
Kubiwa ni kweli tumeibiwa lakini hivyo viwango vya madini vilivyotajwa katika hizo ripoti inabidi tujiulize mara mbili mbili kama kweli vina uhalisia na hali ya nchi zingine zenye migodi tena kutuzidi.
Hizi ripoti hawa mabwana wanaweza kuzitafsiri kuwa ni defamatory na hivyo tunaweza kuwa suted for defamation japo wametubia unless tuthibitishe usahihi wa hivyo viwango vya madini.
Kwa hesabu za Acacia, ili tuwadai matrilioni hayo inabidi wao wamechuma mazilioni na kuwa wachimbaji wakubwa dunianHawa jamaa kweli watakuwa wametuibia lakini findings za kamati hizi kuhusu viwango vya madini na hasara tuliyopata, mimi binafsi zinanipa mashaka sana na ninaona tunaweza kuja kuumbuka hapo baadae.
Ni hivi,kama mchanga tu unaweza kuwa na madini ya thamani ya trilioni mpaka 380.9 kwa kiwango cha juu kwa miaka hiyo 19,ni wazi nchi zenye rasilimali madini duniani na zenye mikataba mizuri zingekuwa ni nchi tajiri sana katika huu ulimwngu.
Cha kujiuliza, kama hiyo ni thamani ya makinikia tu,madini yenyewe(matofali ya dhahabu) yatakuwa na thamani kiasi gani kwa miaka yote hiyo?
Alafu kingine cha kujiuliza ni kwanini findings za kamati hizi mbili za sasa na ile ya Jaji Bomani zitofautiane katika data za viwango vya madini tu lakini zifanane katika matokeo mengine ikiwemo na mapendekezo?Tukumbuke hata hadidu za rejea zimeonekana kufanana kwa maelezo ya Lissu aliyoyatoa Bungeni jana huku akiwa na ripoti ya Jaji Bomani mkononi.
Kubiwa ni kweli tumeibiwa lakini hivyo viwango vya madini vilivyotajwa katika hizo ripoti inabidi tujiulize mara mbili mbili kama kweli vina uhalisia na hali ya nchi zingine zenye migodi tena kutuzidi.
Hizi ripoti hawa mabwana wanaweza kuzitafsiri kama ni defamatory kwao na hivyo tunaweza kuwa sued for defamation japo wametubia unless tuthibitishe usahihi wa hivyo viwango vya madini.
Weee nae dollar milioni kumi walikuwa wanajenga bandari au crane ya kunyanyulia hilo containerKuna wakati kontena la makinikia lilizama bandarini, hao jamaa walitumia zaidi ya dollar milioni kumi kuliopoa.
Swali langu, kulikua na zahabu kiwango gani humo?
Unalinganisha kamati ya Bomani iliochukua data kutoka kwenye makaratasi yaliyoandaliwa na GST halafu unalinganisha na kamati iliyofanya sampling katika Makontena yaliyodakwa?Hawa jamaa kweli watakuwa wametuibia lakini findings za kamati hizi kuhusu viwango vya madini na hasara tuliyopata, mimi binafsi zinanipa mashaka sana na ninaona tunaweza kuja kuumbuka hapo baadae.
Ni hivi,kama mchanga tu unaweza kuwa na madini ya thamani ya trilioni mpaka 380.9 kwa kiwango cha juu kwa miaka hiyo 19,ni wazi nchi zenye rasilimali madini duniani na zenye mikataba mizuri zingekuwa ni nchi tajiri sana katika huu ulimwngu.
Cha kujiuliza, kama hiyo ni thamani ya makinikia tu,madini yenyewe(matofali ya dhahabu) yatakuwa na thamani kiasi gani kwa miaka yote hiyo?
Alafu kingine cha kujiuliza ni kwanini findings za kamati hizi mbili za sasa na ile ya Jaji Bomani zitofautiane katika data za viwango vya madini tu lakini zifanane katika matokeo mengine ikiwemo na mapendekezo?Tukumbuke hata hadidu za rejea zimeonekana kufanana kwa maelezo ya Lissu aliyoyatoa Bungeni jana huku akiwa na ripoti ya Jaji Bomani mkononi.
Kubiwa ni kweli tumeibiwa lakini hivyo viwango vya madini vilivyotajwa katika hizo ripoti inabidi tujiulize mara mbili mbili kama kweli vina uhalisia na hali ya nchi zingine zenye migodi tena kutuzidi.
Hizi ripoti hawa mabwana wanaweza kuzitafsiri kama ni defamatory kwao na hivyo tunaweza kuwa sued for defamation japo wametubia unless tuthibitishe usahihi wa hivyo viwango vya madini.
Ndio ujue thamani ya yale makontena!Weee nae dollar milioni kumi walikuwa wanajenga bandari au crane ya kunyanyulia hilo container