Sakata la madini: Tundu Lissu ategua kitendawili

Hakika Tundu Lissu ni mtu makini sana
Hakika TLS yuko makini sana. Lakini AJABU ni kuwa mtoa mada WA LEO ameonesha ana UCHUNGU mwingi kuhusu WIZI katika sekta ya madini kama vile wizi huu umeanza leo. Walichosema wenye uchungu na nchi walikidharau na kukikebehi sababu tu ya wingi wao Bungeni....
 
Daaaa,huyu Tundu Lissu ni mtu makini. Yale aliyoyasema huko nyuma kuhusu madini ndo yanatimia leo.
Kasema lini na alifanya nini kama si kumpa sifa asizokuwanazo? Mh Magufuli kuna clip ilikuwa ikisambazwa wakati wa uchaguzi akipinga usafirishaji wa mchanga na nia yake hiyo alipoanza kuitekeleza huyo unayemsifu alipinga na kuwa upande wa acacia. Bila aibu kila mtu pamoja na huyo boya wako wanajiona kama ni miongoni mwa wabunifu wa hiki kinachoendelea. Acheni ujinga wenu muacheni Mh Magufuli amalize kazi aliyoianza. Uamuzi atatoa pale kamati ya uchunguzi ya pili itakapotoa taarifa yake.
 
Wa kulaimiwa ni wabunge wa CCM ambao huwa wanatanguliza ushabiki wa kichama badala ya kuangalia maslahi mapana ya taifa wakiamini kuwa wanawakomoa wapinzani kumbe wanaiangamiza nchi, ndiyo maana sisi wengine tunasema CCM ni janga la taifa letu.
 
Anachosema tundulissu hakina uhusiano wowote na konteina. Alikuwa analaani hati ya dharura, mbinu yao kurefusha mijadala wapate posho na umaarufu wa kupiga kelele. Makonteina yasingeshikwa hata kama sheria ingejadiliwa nusu mwaka. Body language yake pia inakinai?!

Usichoelewa ni kuwa huo mchanga haukuwa unachukuliwa at gun point bali uko katika mikataba ambayo ni zao la sheria mbovu zinazopitishwa na wabunge wa CCM ambazo Tundu Lissu anazisema.
 
Magu kachelewa ila at least kathubutu, mi CCM bado ipo fofofo imelala dhahabu inahama nchi. Congra Lissu na Mnyika mmeyapigania sana madini yetu, Mungu amesikia kilio chenu kupitia Magufuli. Mi CCM Mungu anawaona nyieee...
 
Ni kweli kuwa maamuzi mengi ya serikali ni ya zimamoto! Katika mambo ya kitaalamu wabunge wangekuwa wanapewa muda wa kutosha kufanya consultation kwa wataalamu wa masuala husika!
wabunge wenyewe hawa?
 
Hapa Tundu Lisu yupo? Msimpatie sifa za Bure huyo TL wenu hana jipya. Kinachomfanya mmpende ni kukosa nidhamu. Hana malezi. Hapa ni JPM mwenyewe kabla hata ya kuwa Rais.
 

Attachments

  • 1495652312479.mp4
    1.7 MB · Views: 14
Ni kweli kuwa maamuzi mengi ya serikali ni ya zimamoto! Katika mambo ya kitaalamu wabunge wangekuwa wanapewa muda wa kutosha kufanya consultation kwa wataalamu wa masuala husika!

Wabunge wanajua kusoma na kuandika tu.
 
Mh Rais sajili hii mtu inaitwa lisu atakufaa sana. Awe overall adviser wa siri hakianani inchi itanyooka sana.

Piga kazi tupo usiwaze.
 
Anachosema tundulissu hakina uhusiano wowote na konteina. Alikuwa analaani hati ya dharura, mbinu yao kurefusha mijadala wapate posho na umaarufu wa kupiga kelele. Makonteina yasingeshikwa hata kama sheria ingejadiliwa nusu mwaka. Body language yake pia inakinai?!
Mkuu, Hata mimi nimebaki nawashangaa hawa majamaa. Sijui wanahusisja vipi anayoongea Lissu na hili suala la makontena.
Maana Lissu anaongelea masuala ya dhahamu na rasilimali zetu wakati Yale makontena yaliyokua yanachuñguzwa ni Makontena ya nguo za mitumba na vifaa vya umeme.
 
Very intelligent man in tanzania
Ifahamike kwamba mapigano makubwa kati ya serikali na upinzani juu ya sakata la madini/mirabaha/mikataba lilianzishwa siku nyingi sana bungeni, mwanzo kabisa alikua mh Mnyika akiwa waziri kivuli wa madini, Zitto kabwe na kwenye mambo ya mikataba Tundu Lisu alikua mwiba mkali sana.

Sasa hatimaye kitendawili kimeteguliwa alichokua anakipigania na matokeo ya tume ya madini vimeenda sawa.

Tazama hapa.

 
Always ninasema ccm hawana jipya,kwani yale opposition waliyoyapigia kelele miaka 10~15~20 nyuma huku chama twawala wakizomea na maneno ya kubeza na kejeli tele,ndipo leo wanakuja kupapasapapasa bila kuzama ndani kwa umakini wa kutosha huku wakitaka wananchi washangilie na vigelegele juu.
"LAANA KUU KWA NCHI HII NI CCM".
Ccm Laanatullah.
 
Back
Top Bottom