Ni kweli. Maana pia waliwahi kutamka kwamba wanahitaji Rais mwenye maamuzi. Awe pia rais serious asiye cheka cheka na mkali.Kwa mujibu wa historia, kila kilichopiganiwa na wapinzani kitatimia.
Hivi mada inaongelea kivuko au madini. Umeona hiyo clip inayomwonyesha Magu lakini?
Usichanganye mada. Anzisha uzi wako wa kivuko tuuchambue uzalendo wa Magu. Usituchanganyie mada
Hapa Tundu Lisu yupo? Msimpatie sifa za Bure huyo TL wenu hana jipya. Kinachomfanya mmpende ni kukosa nidhamu. Hana malezi. Hapa ni JPM mwenyewe kabla hata ya kuwa Rais.
Mkuu, Hata mimi nimebaki nawashangaa hawa majamaa. Sijui wanahusisja vipi anayoongea Lissu na hili suala la makontena.
Maana Lissu anaongelea masuala ya dhahamu na rasilimali zetu wakati Yale makontena yaliyokua yanachuñguzwa ni Makontena ya nguo za mitumba na vifaa vya umeme.
Una utani mbaya! Umejiuliza miswada hiyo ikipita JPM alikuwa wapi??kwa hiyo clip inabidi rais awaangalie wabunge wote waliopotisha sheria ya madini kuanzia mwaka 1997 na kuendelea . na kama wabunge wapo wachukuliwe hatua kwa kusababisha taifa lupata hasara.
Mara nyingi yuko makini hususani kwenye mambo ya sheria.Daaaa,huyu Tundu Lissu ni mtu makini. Yale aliyoyasema huko nyuma kuhusu madini ndo yanatimia leo.
Labda kwa sababu FAILURE BASHITE ndo anaongoza jiji kuu la kibiashara....IQ itatoka wapi tena ukijumlisha na phd FAKETatizo watanzania tuna IQ ndogo