wizzy more
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 427
- 187
Wanaotetea serkal ya majambazi na wauzaji was nchi mnafurahi sana kwa kuwa unalpiwa kodi na kichwa samakiMajizi chadema kwa kujipendekeza hawajambo
Wanaotetea serkal ya majambazi na wauzaji was nchi mnafurahi sana kwa kuwa unalpiwa kodi na kichwa samakiMajizi chadema kwa kujipendekeza hawajambo
Hayo ni moja ya mambo yanayotufikisha hapa tulipo. Bila bunge imara, hatutoki hapa, itaishia hadithi tuWabunGe hawa ambao wakati wa kampeni wanahonga wanaenda kwa waganga nk. We una utani sana
Huo ndio ukweli .Kwa mujibu wa historia, kila kilichopiganiwa na wapinzani kitatimia.
Ifahamike kwamba mapigano makubwa kati ya serikali na upinzani juu ya sakata la madini/mirabaha/mikataba lilianzishwa siku nyingi sana bungeni, mwanzo kabisa alikua mh Mnyika akiwa waziri kivuli wa madini, Zitto kabwe na kwenye mambo ya mikataba Tundu Lisu alikua mwiba mkali sana.
Sasa hatimaye kitendawili kimeteguliwa alichokua anakipigania na matokeo ya tume ya madini vimeenda sawa.
Tazama hapa.
hawajipendekez. ni kwel na kila mtu anajua haya yote yanayotendeka yalipiganiwa sana na wapinzani haswa chadema. mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni. na hii ndo kaz ya upinzani. ukichukia ni kwa vile umejaa chuki binafsi tu. kalagha baho
Kama hufanyi makusudi basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana !!Anachosema tundulissu hakina uhusiano wowote na konteina. Alikuwa analaani hati ya dharura, mbinu yao kurefusha mijadala wapate posho na umaarufu wa kupiga kelele. Makonteina yasingeshikwa hata kama sheria ingejadiliwa nusu mwaka. Body language yake pia inakinai?!
Anachosema tundulissu hakina uhusiano wowote na konteina. Alikuwa analaani hati ya dharura, mbinu yao kurefusha mijadala wapate posho na umaarufu wa kupiga kelele. Makonteina yasingeshikwa hata kama sheria ingejadiliwa nusu mwaka. Body language yake pia inakinai?!
Uzalendo wa huyu mzee haukuanza kwa lissu kuongea ulianza kitambo kabla lissu hajawa hata mbunge
Kwani JPM hakuwemo kwenye hiyo cabinet kabla mswada haujaenda bungeni??na kama alikuwepo alifanya nn kama mzalendo au na yeye alikaa kimya kulinda ugali wake.....Bila kujali mambo ya uvyama,kama Wabunge wa CCM wataanza kuwa makini,mambo mengi ya hovyo yasingetokea. Kumbuka hiyo video Clip ni ya muda mrefu,lakini leo yanatimia.Sasa mchangiaji imekuuma kuona kwamba aliyoyasema Tundu Lissu zamani leo yanatimia. Kwa ushabiki wako ukadhani Tundu Lissu aliongea leo,kumbe ni muda mrefu. Tukubali tu kuwa katika Taifa,watu kama Tundu Lissu,JPM tunatakiwa tuwe nao kama 100 hivi,tutafika mbali sana.
Sis tunamwamini anayetenda siyo mpinga porojo magDaaaa,huyu Tundu Lissu ni mtu makini. Yale aliyoyasema huko nyuma kuhusu madini ndo yanatimia leo.
lisuDaaaa,huyu Tundu Lissu ni mtu makini. Yale aliyoyasema huko nyuma kuhusu madini ndo yanatimia leo.
ciakuelewa mkuu. kwani mkulu c alikuwepo kwenye baraza LA mawazir lililoridhia sheria ya madini ya kinyonyaji ? pia wakati wakina zitto na lissu wanadai mikataba ya madini iwekwe wazi kwa wabunge wao walikuwa wanakaza isitoke. au? anyway hapa Mimi naona kuna jambo limejificha muda c mrefu litakuwa wazi.Hapo ndipo watz tunapoonekana hatuna kitu kichwani kwa hoja mfu kama hizi ,hao chadema wanaingiaje hapa ?na ukizungumzia majizi nadhani utafahamu nani wahalifu katika jambo hili,ni wakati wa kuweka mshikamano kama watz na kumuunga mkono Rais wetu katika kukabiliana na tishio hili kuu la uchumi wetu ,tupunguze comment za kipumbavu za kunyooshea vidole wasio husika ,tubadilike katika matumizi ya akili zetu!
Hivi mada inaongelea kivuko au madini. Umeona hiyo clip inayomwonyesha Magu lakini?Iyetuletea kivuko kibovu ndiyo Mzalendo??Huyu aliyetumia bilioni nane za.kivuko cha 1928 ati Mzalendo basi hata JKN na Mkapa ni wazalendo.