Mligo Likeve
Member
- Jun 7, 2017
- 10
- 8
Serikali yenyewe ilipitisha mikataba bungeni kuwapa kila kitu makampuni ya madini,jpm alishiriki,Leo anasimama anajifanya hajui kitu
Acha uongo.Mikataba hii haijawahifika Bungeni.Ni siri.
Serikali yenyewe ilipitisha mikataba bungeni kuwapa kila kitu makampuni ya madini,jpm alishiriki,Leo anasimama anajifanya hajui kitu
Unauhakika gani kuwa alibeba...kwani majibu ya tume yanaukweli 100%??ndo mana kila cku serikali inashindwa kesi mahakamani kwa kifuata akili hizihiziKuna sheria inayoruhusu waziri kubeba mihuri ya ofisi na kwenda kusaini mikataba hotelini mjini London Uingereza?
Vipi hata ununuzi wa bombardier ni siri???Acha uongo.Mikataba hii haijawahifika Bungeni.Ni siri.
Acha vitisho..unazani mahakama inatoaga uamuzi kwa kutumia report za lumumbaHuyu Karamagi mwache ajifanye kichwa maji! ATAJUA TU CHA KUSAIDIA! ile kiburi yao ya zamani sasa imefika mwisho wakinusurika WATAFAGIA HOSPITALI, lakini STAHILI YAO NI KUNYEA DEBE!
Huu mchezo hauitaji hasira, atajua muda si mrefu kilichomfanya mbuzi kuwa na mkia mfupiJe ni kweli hajui asaidie nini kwa mjibu mapendekezo ya kamati ya pili na maamuzi ya Rais.......
![]()
![]()
Nguvu ya waziri ni kubwa mno ktk mikataba anauwezo wa kufuta mikataba na kuongeza mikataba atavyoona yapendeza yy.Kuna sheria inayoruhusu waziri kubeba mihuri ya ofisi na kwenda kusaini mikataba hotelini mjini London Uingereza?
Shangaa simba kuwa dactar wa nyani.Serikali yenyewe ilipitisha mikataba bungeni kuwapa kila kitu makampuni ya madini,jpm alishiriki,Leo anasimama anajifanya hajui kitu
Ndiyo maana wawekezaji wanawapiga na 10% wao wanawaza pesa itakayowatosha wao na familia zao kuuaga umasikini hafikirii kuwa wanatoa ngo'mbe kwa bei ya kukuNguvu ya waziri ni kubwa mno ktk mikataba anauwezo wa kufuta mikataba na kuongeza mikataba atavyoona yapendeza yy.
Ndio akafafanue kwenye mamlaka ....kwani kuna ubaya upi???....kama yupo safiNi sahihi kabisa. Mbona hata Ngeleja jana alisema, kila kitu walikua wanafanya kwa mujibu wa sheria!.