Nonsense! talking nonsense!Habarini wanaJF.
Naomba nianze kwa kutoa pongezi kwa mheshiwa rais John Pombe Magufuli pomoja na mama Samia (Makamu wa rais), na waziri mkuu Mh.Khassim Majaliwa kwa kasi na maamuzi na maamuzi yao juu ya sakata la mchanga.
Hakika nimevutiwa na "combination" yao ya utatu usiotikisika. Mara nyingi Mh.Magufuli anapofanya maamuzi magumu basi utamsikia akisema "nimekubaliana na wenzangu"na tumeamua................ hii inaonyesha wazi kwamba "they are all sailing on the same boat". Maadui wamejaribu kuwatenganisha ili wampige baba vizuri lakina wameshindwa . Walaaniwe!
Katika suala la mchanga nimewasikia wanasiasa wanaotumikia matumbo yao wakiilaumu CCM kuwa ndio chanzo cha matatizo yote haya. La hasha!
Pia wamesikaka wengine wakimdhihaki Mh. JPM kwamba anafanya siasa kwa sababu alikwepo kwenye chama wakati yote haya yanafanyika na hivyo alitakiwa kuchukua hatua. Hapa watoa tuhuma ndio wanafanya siasa, wanaogopa kuzidiwa kete.
Mh. Rais kwa busara kubwa kabisa ameunda tume mbili mmoja ikiwa ni ya wanageojia na watalaam wa chemia na nyingine ikiwa ni ya wanasheria na wachumi. Bravooooooo!, Alijua kila kitu na zaidi ya maneno ya "the blind". Kamati ya pili watatoa muongozo wa what next kisheria na kiuchumi. Kama Lissu "The blind" angekuwa mzalendo basi angeenda kutoa maoni yake kwenye tume ya pili ya mh.rais au angeomba kujiunga na tume kwa maslahi ya nchi yake na jamii yake kwa ujumla.
Kwa makusudi kaamua kujiunga na yule adui wa nchi.
Naomba labda niwafumbue macho kidogo hawa vipofu wa maono. Mh. JPM hakuwahi kuwa waziri wa nishati na madini katika kipindi chote cha uongozi kama kumbukumbu zangu ziko sahihi amewakuwa waziri wa ujenzi, waziri wa uvuvi nk. Na katika wizara alizopitoa alivunja rekodi kwa kufanya mabadiliko makubwa na ya kushangaza. Alipokuwa uvuvi hata samaki wa nyumba ya mungu walisikia uwepo wake wakaanza kuelea juu ya maji wakijisikia wako salama dhidi ya wavuvi haramu.
Mara nyingi alikuwa akikwazwa na mabosi wake kwa kupindisha sheria (kubumbuka sakata la malori ya mizigo). Na kwa kipindi hiki wakina Lissu "the blind" alikuwa anasema Magufuli anatembea na barua ya kujiuzulu lengo la kumdhoofisha JK.
Chama kama chama hakina uhai wa kibinadamu, hakiongei, hakipumui, hakisain chochote, hakijui kusoma wala kuandika, hakijawahi kusafiri kwenda nje kusain mikataba na hakina makuu.
Chama hakikuwahi kuwatumu watu kusain mikataba ya madini, wala kusimamia zoezi lenyewe kwa wakati wowote ule kwa hiyo hakiistahili kulaumiwa kwa njia yoyote ile.
Waliosain mikataba na kufanya maamuzi mabaya ya madini ni ndugu zetu, makabila yetu, ni jirani zetu na ni marafiki zetu kwa njia moja au nyingine na sio CCM. Tuwanyooshee vidole kwa uhusiano wetu wetu tulionayo na wezi hawa.
Ifike mahali kila aliesain mkataba mbovu na abebe msalaba wake yeye na ndugu zake. Kama Karamagi alisain mkataba wa ovyo basi wahaya wote waanze kwa kumlaumu ndugu yao kwa kuwachafulia jina na kuwafanya waonekane wezi mbele ya jamiii.
Na kama Lowasa alihusika kwa njia yoyote ile kwenye kusain mkataba wowote mbovu wa richond basi abebe msalaba wake na wamaasai wote waanze kwa kumnyoshea kidole mwenzao kwa tabia ziligharimu nchi na zinaendelea kutugharimu mpaka leo.
Kumekuwa na tabaia ya watu kufanya maamuzi kwa kutangulia matumbo yao mbele. Wanapokula hela hizo hela haramu ni familia zao ndizo zinafurahia ila linapokuja lawama basi zinarushwa kwenye chama utafikiri chama nacho kina watoto au familia.. Mkome!!!
Rais na timu yake wameamua kurekebisha makosa yaliofanywa na ndugu zenu ili nyie mbaki salama lakini bado hao hao wezi wameamua kutumia mawakala wao kukwamisha mabadiliko haya. Tuwalaani kwa nguvu zote!!, Tuwambie sasa basi!
Tuungane kwa pamoja kupambana na wezi hawa wa fikra na sponsors wao!!
Ahsanteni kwa kuisoma na kuielewa
Mmmhhh..!!! kwa taarifa tu mimi spendagi kabisa mikakati ya wanasiasa kwani huongea kama vile wanaoongea nao ni watu wasiokuwa makini kufuatilia matukio yote yanayogusa maslahi ya nchi. Ajabu kila anayetoa wazo tofauti na wao hutafuta maneno mengi ya kuonyesha kuwa huyo hana uchungu na nchi yake...ndo maana siipendi siasa wala uchama wa kijinga. Tunajua na ni wazi kuwa kwa nchi yetu serikali iliyoko madarakani huwa ni serikali ya chama kilichoshinda na hutekeleza ahadi na sera za chama husika. Ktk hili inaonyesha wazi kuwa serikali yote hasa baraza la mawaziri hujua kila kinachofanyika hasa pale ambapo kinagusa maslahi ya taifa na hayo huwa ni siri zao ambazo hazitakiwi kuvuja. Pili tumeona mara nyingi hata pale panapotokea mvutano bungeni kati ya serikali na wabunge basi wabunge wa chama TAWALA huitwa kwenye vikao vyao na wanaporudi bungeni jambo lilelile litapigiwa kura za NDIYO au SIO na NDIYO mara nyigi huwa inashinda na jambo husika hupitishwa bila kujali madhara yake.(mfano nakumbuka hata sheria za madini ilifanyika hivyo). Kwa maana hiyo bila kujali ni chama gani kilicho MADARAKANI ni vigumu kutenganisha chama na serikali (ambayo huwa ni serikali ya CHAMA tawala).Habarini wanaJF.
Naomba nianze kwa kutoa pongezi kwa mheshiwa rais John Pombe Magufuli pomoja na mama Samia (Makamu wa rais), na waziri mkuu Mh.Khassim Majaliwa kwa kasi na maamuzi na maamuzi yao juu ya sakata la mchanga.
Hakika nimevutiwa na "combination" yao ya utatu usiotikisika. Mara nyingi Mh.Magufuli anapofanya maamuzi magumu basi utamsikia akisema "nimekubaliana na wenzangu"na tumeamua................ hii inaonyesha wazi kwamba "they are all sailing on the same boat". Maadui wamejaribu kuwatenganisha ili wampige baba vizuri lakina wameshindwa . Walaaniwe!
Katika suala la mchanga nimewasikia wanasiasa wanaotumikia matumbo yao wakiilaumu CCM kuwa ndio chanzo cha matatizo yote haya. La hasha!
Pia wamesikaka wengine wakimdhihaki Mh. JPM kwamba anafanya siasa kwa sababu alikwepo kwenye chama wakati yote haya yanafanyika na hivyo alitakiwa kuchukua hatua. Hapa watoa tuhuma ndio wanafanya siasa, wanaogopa kuzidiwa kete.
Mh. Rais kwa busara kubwa kabisa ameunda tume mbili mmoja ikiwa ni ya wanageojia na watalaam wa chemia na nyingine ikiwa ni ya wanasheria na wachumi. Bravooooooo!, Alijua kila kitu na zaidi ya maneno ya "the blind". Kamati ya pili watatoa muongozo wa what next kisheria na kiuchumi. Kama Lissu "The blind" angekuwa mzalendo basi angeenda kutoa maoni yake kwenye tume ya pili ya mh.rais au angeomba kujiunga na tume kwa maslahi ya nchi yake na jamii yake kwa ujumla.
Kwa makusudi kaamua kujiunga na yule adui wa nchi.
Naomba labda niwafumbue macho kidogo hawa vipofu wa maono. Mh. JPM hakuwahi kuwa waziri wa nishati na madini katika kipindi chote cha uongozi kama kumbukumbu zangu ziko sahihi amewakuwa waziri wa ujenzi, waziri wa uvuvi nk. Na katika wizara alizopitoa alivunja rekodi kwa kufanya mabadiliko makubwa na ya kushangaza. Alipokuwa uvuvi hata samaki wa nyumba ya mungu walisikia uwepo wake wakaanza kuelea juu ya maji wakijisikia wako salama dhidi ya wavuvi haramu.
Mara nyingi alikuwa akikwazwa na mabosi wake kwa kupindisha sheria (kubumbuka sakata la malori ya mizigo). Na kwa kipindi hiki wakina Lissu "the blind" alikuwa anasema Magufuli anatembea na barua ya kujiuzulu lengo la kumdhoofisha JK.
Chama kama chama hakina uhai wa kibinadamu, hakiongei, hakipumui, hakisain chochote, hakijui kusoma wala kuandika, hakijawahi kusafiri kwenda nje kusain mikataba na hakina makuu.
Chama hakikuwahi kuwatumu watu kusain mikataba ya madini, wala kusimamia zoezi lenyewe kwa wakati wowote ule kwa hiyo hakiistahili kulaumiwa kwa njia yoyote ile.
Waliosain mikataba na kufanya maamuzi mabaya ya madini ni ndugu zetu, makabila yetu, ni jirani zetu na ni marafiki zetu kwa njia moja au nyingine na sio CCM. Tuwanyooshee vidole kwa uhusiano wetu wetu tulionayo na wezi hawa.
Ifike mahali kila aliesain mkataba mbovu na abebe msalaba wake yeye na ndugu zake. Kama Karamagi alisain mkataba wa ovyo basi wahaya wote waanze kwa kumlaumu ndugu yao kwa kuwachafulia jina na kuwafanya waonekane wezi mbele ya jamiii.
Na kama Lowasa alihusika kwa njia yoyote ile kwenye kusain mkataba wowote mbovu wa richond basi abebe msalaba wake na wamaasai wote waanze kwa kumnyoshea kidole mwenzao kwa tabia ziligharimu nchi na zinaendelea kutugharimu mpaka leo.
Kumekuwa na tabaia ya watu kufanya maamuzi kwa kutangulia matumbo yao mbele. Wanapokula hela hizo hela haramu ni familia zao ndizo zinafurahia ila linapokuja lawama basi zinarushwa kwenye chama utafikiri chama nacho kina watoto au familia.. Mkome!!!
Rais na timu yake wameamua kurekebisha makosa yaliofanywa na ndugu zenu ili nyie mbaki salama lakini bado hao hao wezi wameamua kutumia mawakala wao kukwamisha mabadiliko haya. Tuwalaani kwa nguvu zote!!, Tuwambie sasa basi!
Tuungane kwa pamoja kupambana na wezi hawa wa fikra na sponsors wao!!
Ahsanteni kwa kuisoma na kuielewa
Haya wa Bulyamkulu una saini ya Jakaya Kikwete! kamkamateni.Habarini wanaJF.

Habarini wanaJF.

Katika hili CCM haijivui hata kama wakienda kutambikia mizimu yao,ni mara nyingi tumeshuhudia CCM wakiitisha vikao vya kuwaonya wabunge wanaoonekana kutofautiana na serekali ya CCM kwa ajili ya kuwatetea wananchi,ni mara nyingi tumeshuhudia CCM ikiwataka wabunge wake kupitisha bajeti ya serekali kwa kura zote za ndiyoo,wabunge wa CCM wamepigwa mkwara na mwenyekiti wa chama kutoungana na wapinzani kuikosoa serekali ya CCM na kutokuwapa wapinzani dakika zao kwa ajili ya kuchangia hoja mbalimbali.Katika suala la mchanga nimewasikia wanasiasa wanaotumikia matumbo yao wakiilaumu CCM kuwa ndio chanzo cha matatizo yote haya. La hasha!
Ungesema kuwa urais wa mh Magufuli haukutokana na CCM hapo ungeweza kueleweka.Habarini wanaJF.
Naomba nianze kwa kutoa pongezi kwa mheshiwa rais John Pombe Magufuli pomoja na mama Samia (Makamu wa rais), na waziri mkuu Mh.Khassim Majaliwa kwa kasi na maamuzi na maamuzi yao juu ya sakata la mchanga.
Hakika nimevutiwa na "combination" yao ya utatu usiotikisika. Mara nyingi Mh.Magufuli anapofanya maamuzi magumu basi utamsikia akisema "nimekubaliana na wenzangu"na tumeamua................ hii inaonyesha wazi kwamba "they are all sailing on the same boat". Maadui wamejaribu kuwatenganisha ili wampige baba vizuri lakina wameshindwa . Walaaniwe!
Katika suala la mchanga nimewasikia wanasiasa wanaotumikia matumbo yao wakiilaumu CCM kuwa ndio chanzo cha matatizo yote haya. La hasha!
Pia wamesikaka wengine wakimdhihaki Mh. JPM kwamba anafanya siasa kwa sababu alikwepo kwenye chama wakati yote haya yanafanyika na hivyo alitakiwa kuchukua hatua. Hapa watoa tuhuma ndio wanafanya siasa, wanaogopa kuzidiwa kete.
Mh. Rais kwa busara kubwa kabisa ameunda tume mbili mmoja ikiwa ni ya wanageojia na watalaam wa chemia na nyingine ikiwa ni ya wanasheria na wachumi. Bravooooooo!, Alijua kila kitu na zaidi ya maneno ya "the blind". Kamati ya pili watatoa muongozo wa what next kisheria na kiuchumi. Kama Lissu "The blind" angekuwa mzalendo basi angeenda kutoa maoni yake kwenye tume ya pili ya mh.rais au angeomba kujiunga na tume kwa maslahi ya nchi yake na jamii yake kwa ujumla.
Kwa makusudi kaamua kujiunga na yule adui wa nchi.
Naomba labda niwafumbue macho kidogo hawa vipofu wa maono. Mh. JPM hakuwahi kuwa waziri wa nishati na madini katika kipindi chote cha uongozi kama kumbukumbu zangu ziko sahihi amewakuwa waziri wa ujenzi, waziri wa uvuvi nk. Na katika wizara alizopitoa alivunja rekodi kwa kufanya mabadiliko makubwa na ya kushangaza. Alipokuwa uvuvi hata samaki wa nyumba ya mungu walisikia uwepo wake wakaanza kuelea juu ya maji wakijisikia wako salama dhidi ya wavuvi haramu.
Mara nyingi alikuwa akikwazwa na mabosi wake kwa kupindisha sheria (kubumbuka sakata la malori ya mizigo). Na kwa kipindi hiki wakina Lissu "the blind" alikuwa anasema Magufuli anatembea na barua ya kujiuzulu lengo la kumdhoofisha JK.
Chama kama chama hakina uhai wa kibinadamu, hakiongei, hakipumui, hakisain chochote, hakijui kusoma wala kuandika, hakijawahi kusafiri kwenda nje kusain mikataba na hakina makuu.
Chama hakikuwahi kuwatumu watu kusain mikataba ya madini, wala kusimamia zoezi lenyewe kwa wakati wowote ule kwa hiyo hakiistahili kulaumiwa kwa njia yoyote ile.
Waliosain mikataba na kufanya maamuzi mabaya ya madini ni ndugu zetu, makabila yetu, ni jirani zetu na ni marafiki zetu kwa njia moja au nyingine na sio CCM. Tuwanyooshee vidole kwa uhusiano wetu wetu tulionayo na wezi hawa.
Ifike mahali kila aliesain mkataba mbovu na abebe msalaba wake yeye na ndugu zake. Kama Karamagi alisain mkataba wa ovyo basi wahaya wote waanze kwa kumlaumu ndugu yao kwa kuwachafulia jina na kuwafanya waonekane wezi mbele ya jamiii.
Na kama Lowasa alihusika kwa njia yoyote ile kwenye kusain mkataba wowote mbovu wa richond basi abebe msalaba wake na wamaasai wote waanze kwa kumnyoshea kidole mwenzao kwa tabia ziligharimu nchi na zinaendelea kutugharimu mpaka leo.
Kumekuwa na tabaia ya watu kufanya maamuzi kwa kutangulia matumbo yao mbele. Wanapokula hela hizo hela haramu ni familia zao ndizo zinafurahia ila linapokuja lawama basi zinarushwa kwenye chama utafikiri chama nacho kina watoto au familia.. Mkome!!!
Rais na timu yake wameamua kurekebisha makosa yaliofanywa na ndugu zenu ili nyie mbaki salama lakini bado hao hao wezi wameamua kutumia mawakala wao kukwamisha mabadiliko haya. Tuwalaani kwa nguvu zote!!, Tuwambie sasa basi!
Tuungane kwa pamoja kupambana na wezi hawa wa fikra na sponsors wao!!
Ahsanteni kwa kuisoma na kuielewa
Hill liko wazi halihitaji maelezoCCM imeuza nchi yetu ...
Wataje wahusika na sio chama