Sakata la madini: CCM kama chama hakina kosa

Vijana wa Lumumba povu linawatoka kama hii nchi iliongozwaga na upinzani ntakubaliana na ww vingnevyo ccm ndo mmeitia nchi hasara alafu Leo mnajifanya sio nyinyi ebu acheni upuuzi wenu
Mkapa aliwai kuwaita wapinzani malofa,na wajinga,swali kati ya mtu aliyegawa madini yetu bure,na aliyetetea madini yetu yabaki kwa faida yetu,ni nani lofa?
Go back to SCHOOL dude

Swissme
 
Kosa lako kubwa katika maelezo yako ni kwamba umemtaja Edward Lowassa pekee kwa jina, siku nyingine ukiandika taja majina ya wahusika wote, hiyo itakufanya usionekane kuwa ni shabiki wa ccm.
 
Hivi wewe kwa akili yako kama ya Kuku, unadhani zile tume alizounda Rais Magufuli zitatoa ripoti tofauti na anachokita?
Halafu unasema CCM haikuhusika, kwani hao waliotia saini walikuwa mawaziri na wabunge wa chama gani? Waikuwa anatekeleza ilani ya chama gani kama siyo CCM? C
Na akina Lowasa walikuwa chama gani Wakati wa mikataba hiyo? Jibu swali nyumbu!
 
Kama walikuwepo wakamateni mwashitaki, kwani nani kawatetea? acheni unafiki
Acha uchizi, wakamatwe kwani wenzao wamekamatwa? Hivi nyie mkisha vishwa makaki hayo na mkadanganywa eti ni makamanda, Akili zenu huwa zinahamia kwenye m.a.k.a.l..o yenu or?
 
Ukishakuwa Waziri hata kama ni Waziri wa Uvuvi wewe ni sehemu ya serikali na kama ulikuwa unakwazika unatakiwa ujiuzuru ili ubaki kuwa mbunge na kupata nafasi ya kuichachafya serikali maana ukiwa Waziri hutakiwi kuipinga serikali hadharani labda kwenye vikao vyao vya baraza la mawaziri (na huu ndio mfumo wa serikali unavyofanya kazi, tatizo watu masomo tuliyofundishwa shule yalikuwa kwa ajili ya kujibia mtihani na ndo maana madogo wanafundishwa Civics, General study na Development study)

Kwenye mafanikio ya serikali mbona CCM huwa inatajwa kwanini kwenye failure isitajwe maana hata bungeni unasikia serikali ya chama cha mapinduzi imefanya mazuri mengi (watu mpaka wanasahau kwamba serikali yetu inaitwa serikali ya jamhuri ya muungano wa tz)
 
Acha uchizi, wakamatwe kwani wenzao wamekamatwa? Hivi nyie mkisha vishwa makaki hayo na mkadanganywa eti ni makamanda, Akili zenu huwa zinahamia kwenye m.a.k.a.l..o yenu or?
Wewe chizi kabisa. Mnasema mnapambana na ufisadi huku mnaangalia sura? Kama ni mikataba mibovu walioisababisha wapo (wawe Chadema au CCM au popote, wakamatwe wafikishwe kwenye mkono wa sheria
 
Nyie mliowapokea baada ya kuhakikisha wanang'olewa hadi uwaziri kwa taarifa zenu za list of shame na ule waraka wa Mnyika na wenzake bungeni 2008, mbona hamkuwakamata na mmewapa uongozi wa juu, Wakati wa bunge lile, 2008 (sijui kama ulikuwa umemaliza shule) chadema ndio ilipigana sana na kudai wajiuzuru n.k, ccm ikaona hawafai kupata madaraka tena, nyie mmewapa nyadhifa za juu hadi kugombea urais badala ya kuwakamata!;

Machadema are bunch of criminals.
 
Hata mimi ninakuunga mkono kwa sauti ya juu. Haya mambo ya vyama tuyawekeni pembeni tudili na wahalifu kama anavyofanya Magufuli.
Wakati akitumbua haangalii chama. Hata ninavyoona sasa, mibaka uchumi ya Ccm kayavuruga na huenda akayamaliza na chama kusafishika.
Tukianza kuweka u- chama kwenye wizi basi kama taifa kwa umoja wetu, sote tunahusika, maana uanachama wa vyama vya kwenye brief case ni rahisi sana mtu kuhama hasah anaponyimwa kiti cha kuendeleza wizi wake na imekuwa kamchanganyikeni. Wa ccm ndiyo haohao wa chadema, hawapaki hata mikorogo kubadili umbo, sura zao ni zilezile tunawafahamu.
Leo wapo ccm kesho wapo cdm. Tusemeje sasa?
Wapi turushe rungu letu kupiga? Ninadhani ni kwa nafsi halifu binafsi na si kulaumu jumuia.
Nimeoenda sana mchango

" CCM ndio hao hao chadema hawapaki hata mkorogo ili kubadili rangi", leo wako ccm kesho wako chadema. Tuwe na dhamira moja kulinda nchi yetu.
 
Boss Warue Bandiko lako limejaa Porojo tu. Mimi nilitegemea ungemshauri Mh. Rais afumue Mikataba yote mibovu inayotafuna Nchi. Kwani Sheria za Nchi ni nani anapitisha kabla ya Rais kusign? Ukinijibu swali hiyo, pia niambie Wabunge wengi ni wa Chama gani Tanzania?

Habarini wanaJF.

Naomba nianze kwa kutoa pongezi kwa mheshiwa rais John Pombe Magufuli pomoja na mama Samia (Makamu wa rais), na waziri mkuu Mh.Khassim Majaliwa kwa kasi na maamuzi na maamuzi yao juu ya sakata la mchanga.

Hakika nimevutiwa na "combination" yao ya utatu usiotikisika. Mara nyingi Mh.Magufuli anapofanya maamuzi magumu basi utamsikia akisema "nimekubaliana na wenzangu"na tumeamua................ hii inaonyesha wazi kwamba "they are all sailing on the same boat". Maadui wamejaribu kuwatenganisha ili wampige baba vizuri lakina wameshindwa . Walaaniwe!

Katika suala la mchanga nimewasikia wanasiasa wanaotumikia matumbo yao wakiilaumu CCM kuwa ndio chanzo cha matatizo yote haya. La hasha!

Pia wamesikaka wengine wakimdhihaki Mh. JPM kwamba anafanya siasa kwa sababu alikwepo kwenye chama wakati yote haya yanafanyika na hivyo alitakiwa kuchukua hatua. Hapa watoa tuhuma ndio wanafanya siasa, wanaogopa kuzidiwa kete.

Mh. Rais kwa busara kubwa kabisa ameunda tume mbili mmoja ikiwa ni ya wanageojia na watalaam wa chemia na nyingine ikiwa ni ya wanasheria na wachumi. Bravooooooo!, Alijua kila kitu na zaidi ya maneno ya "the blind". Kamati ya pili watatoa muongozo wa what next kisheria na kiuchumi. Kama Lissu "The blind" angekuwa mzalendo basi angeenda kutoa maoni yake kwenye tume ya pili ya mh.rais au angeomba kujiunga na tume kwa maslahi ya nchi yake na jamii yake kwa ujumla.

Kwa makusudi kaamua kujiunga na yule adui wa nchi.

Naomba labda niwafumbue macho kidogo hawa vipofu wa maono. Mh. JPM hakuwahi kuwa waziri wa nishati na madini katika kipindi chote cha uongozi kama kumbukumbu zangu ziko sahihi amewakuwa waziri wa ujenzi, waziri wa uvuvi nk. Na katika wizara alizopitoa alivunja rekodi kwa kufanya mabadiliko makubwa na ya kushangaza. Alipokuwa uvuvi hata samaki wa nyumba ya mungu walisikia uwepo wake wakaanza kuelea juu ya maji wakijisikia wako salama dhidi ya wavuvi haramu.

Mara nyingi alikuwa akikwazwa na mabosi wake kwa kupindisha sheria (kubumbuka sakata la malori ya mizigo). Na kwa kipindi hiki wakina Lissu "the blind" alikuwa anasema Magufuli anatembea na barua ya kujiuzulu lengo la kumdhoofisha JK.

Chama kama chama hakina uhai wa kibinadamu, hakiongei, hakipumui, hakisain chochote, hakijui kusoma wala kuandika, hakijawahi kusafiri kwenda nje kusain mikataba na hakina makuu.

Chama hakikuwahi kuwatumu watu kusain mikataba ya madini, wala kusimamia zoezi lenyewe kwa wakati wowote ule kwa hiyo hakiistahili kulaumiwa kwa njia yoyote ile.

Waliosain mikataba na kufanya maamuzi mabaya ya madini ni ndugu zetu, makabila yetu, ni jirani zetu na ni marafiki zetu kwa njia moja au nyingine na sio CCM. Tuwanyooshee vidole kwa uhusiano wetu wetu tulionayo na wezi hawa.

Ifike mahali kila aliesain mkataba mbovu na abebe msalaba wake yeye na ndugu zake. Kama Karamagi alisain mkataba wa ovyo basi wahaya wote waanze kwa kumlaumu ndugu yao kwa kuwachafulia jina na kuwafanya waonekane wezi mbele ya jamiii.

Na kama Lowasa alihusika kwa njia yoyote ile kwenye kusain mkataba wowote mbovu wa richond basi abebe msalaba wake na wamaasai wote waanze kwa kumnyoshea kidole mwenzao kwa tabia ziligharimu nchi na zinaendelea kutugharimu mpaka leo.

Kumekuwa na tabaia ya watu kufanya maamuzi kwa kutangulia matumbo yao mbele. Wanapokula hela hizo hela haramu ni familia zao ndizo zinafurahia ila linapokuja lawama basi zinarushwa kwenye chama utafikiri chama nacho kina watoto au familia.. Mkome!!!

Rais na timu yake wameamua kurekebisha makosa yaliofanywa na ndugu zenu ili nyie mbaki salama lakini bado hao hao wezi wameamua kutumia mawakala wao kukwamisha mabadiliko haya. Tuwalaani kwa nguvu zote!!, Tuwambie sasa basi!

Tuungane kwa pamoja kupambana na wezi hawa wa fikra na sponsors wao!!

Ahsanteni kwa kuisoma na kuielewa
 
Hili ndilo limefanya baadhi ya maamuzi kuumiza nchi halafu mtu anasema ccm haina kosa, kama ni hivyo waache wabunge wajadili mambo kwa akili zao zio za kushikiwa.
Hahaaaa, maelezo yanayotolewa na kwa maslahi mapana ya nchi na sio kwa faida ya ccm. Kumbuka kuna anahitaji kuinda vifaranga wake dhidi ya mwewe hivyo hivyo ccm itawalinda wabunge wake dhidi ya "brain washers" kama nyie
 
Kosa lako kubwa katika maelezo yako ni kwamba umemtaja Edward Lowassa pekee kwa jina, siku nyingine ukiandika taja majina ya wahusika wote, hiyo itakufanya usionekane kuwa ni shabiki wa ccm.
Hahaaa, nimesema kwa mfano na lazima niwachie wengine nao watoe mifano tao
 
Habarini wanaJF.

Naomba nianze kwa kutoa pongezi kwa mheshiwa rais John Pombe Magufuli pomoja na mama Samia (Makamu wa rais), na waziri mkuu Mh.Khassim Majaliwa kwa kasi na maamuzi na maamuzi yao juu ya sakata la mchanga.

Hakika nimevutiwa na "combination" yao ya utatu usiotikisika. Mara nyingi Mh.Magufuli anapofanya maamuzi magumu basi utamsikia akisema "nimekubaliana na wenzangu"na tumeamua................ hii inaonyesha wazi kwamba "they are all sailing on the same boat". Maadui wamejaribu kuwatenganisha ili wampige baba vizuri lakina wameshindwa . Walaaniwe!

Katika suala la mchanga nimewasikia wanasiasa wanaotumikia matumbo yao wakiilaumu CCM kuwa ndio chanzo cha matatizo yote haya. La hasha!

Pia wamesikaka wengine wakimdhihaki Mh. JPM kwamba anafanya siasa kwa sababu alikwepo kwenye chama wakati yote haya yanafanyika na hivyo alitakiwa kuchukua hatua. Hapa watoa tuhuma ndio wanafanya siasa, wanaogopa kuzidiwa kete.

Mh. Rais kwa busara kubwa kabisa ameunda tume mbili mmoja ikiwa ni ya wanageojia na watalaam wa chemia na nyingine ikiwa ni ya wanasheria na wachumi. Bravooooooo!, Alijua kila kitu na zaidi ya maneno ya "the blind". Kamati ya pili watatoa muongozo wa what next kisheria na kiuchumi. Kama Lissu "The blind" angekuwa mzalendo basi angeenda kutoa maoni yake kwenye tume ya pili ya mh.rais au angeomba kujiunga na tume kwa maslahi ya nchi yake na jamii yake kwa ujumla.

Kwa makusudi kaamua kujiunga na yule adui wa nchi.

Naomba labda niwafumbue macho kidogo hawa vipofu wa maono. Mh. JPM hakuwahi kuwa waziri wa nishati na madini katika kipindi chote cha uongozi kama kumbukumbu zangu ziko sahihi amewakuwa waziri wa ujenzi, waziri wa uvuvi nk. Na katika wizara alizopitoa alivunja rekodi kwa kufanya mabadiliko makubwa na ya kushangaza. Alipokuwa uvuvi hata samaki wa nyumba ya mungu walisikia uwepo wake wakaanza kuelea juu ya maji wakijisikia wako salama dhidi ya wavuvi haramu.

Mara nyingi alikuwa akikwazwa na mabosi wake kwa kupindisha sheria (kubumbuka sakata la malori ya mizigo). Na kwa kipindi hiki wakina Lissu "the blind" alikuwa anasema Magufuli anatembea na barua ya kujiuzulu lengo la kumdhoofisha JK.

Chama kama chama hakina uhai wa kibinadamu, hakiongei, hakipumui, hakisain chochote, hakijui kusoma wala kuandika, hakijawahi kusafiri kwenda nje kusain mikataba na hakina makuu.

Chama hakikuwahi kuwatumu watu kusain mikataba ya madini, wala kusimamia zoezi lenyewe kwa wakati wowote ule kwa hiyo hakiistahili kulaumiwa kwa njia yoyote ile.

Waliosain mikataba na kufanya maamuzi mabaya ya madini ni ndugu zetu, makabila yetu, ni jirani zetu na ni marafiki zetu kwa njia moja au nyingine na sio CCM. Tuwanyooshee vidole kwa uhusiano wetu wetu tulionayo na wezi hawa.

Ifike mahali kila aliesain mkataba mbovu na abebe msalaba wake yeye na ndugu zake. Kama Karamagi alisain mkataba wa ovyo basi wahaya wote waanze kwa kumlaumu ndugu yao kwa kuwachafulia jina na kuwafanya waonekane wezi mbele ya jamiii.

Na kama Lowasa alihusika kwa njia yoyote ile kwenye kusain mkataba wowote mbovu wa richond basi abebe msalaba wake na wamaasai wote waanze kwa kumnyoshea kidole mwenzao kwa tabia ziligharimu nchi na zinaendelea kutugharimu mpaka leo.

Kumekuwa na tabaia ya watu kufanya maamuzi kwa kutangulia matumbo yao mbele. Wanapokula hela hizo hela haramu ni familia zao ndizo zinafurahia ila linapokuja lawama basi zinarushwa kwenye chama utafikiri chama nacho kina watoto au familia.. Mkome!!!

Rais na timu yake wameamua kurekebisha makosa yaliofanywa na ndugu zenu ili nyie mbaki salama lakini bado hao hao wezi wameamua kutumia mawakala wao kukwamisha mabadiliko haya. Tuwalaani kwa nguvu zote!!, Tuwambie sasa basi!

Tuungane kwa pamoja kupambana na wezi hawa wa fikra na sponsors wao!!

Ahsanteni kwa kuisoma na kuielewa
Inaonyesha hujui kazi ya Bunge, Serkali na pia kwa nn chama kinabeba lawama.Watafute wenzako wakuelimishe kisha rudi hapa.Vinginevyo wachambuzi watabaki wanachangia kuwa urudi shule kwanza.
 
Nyie mliowapokea baada ya kuhakikisha wanang'olewa hadi uwaziri kwa taarifa zenu za list of shame na ule waraka wa Mnyika na wenzake bungeni 2008, mbona hamkuwakamata na mmewapa uongozi wa juu, Wakati wa bunge lile, 2008 (sijui kama ulikuwa umemaliza shule) chadema ndio ilipigana sana na kudai wajiuzuru n.k, ccm ikaona hawafai kupata madaraka tena, nyie mmewapa nyadhifa za juu hadi kugombea urais badala ya kuwakamata!;

Machadema are bunch of criminals.
Sawa, wamepokelewa. Kwakuwa sasa Rais Magufuli yuko madarakani na ameahidi kupambana na ufisadi, kwanini asiwakamate? Polisi wako chini yake, mahakama anazo, magereza anayo, anaogopa nini?
Au umesahau kuwa alisema hatafukua makaburi? Hapo kuna mapambano ya ufisadi au ngonjera za siasa tu?
 
Warue;“Chama hakikuwahi kuwatumu watu kusain mikataba ya madini, wala kusimamia zoezi lenyewe kwa wakati wowote ule kwa hiyo hakiistahili kulaumiwa kwa njia yoyote ile”.

SWALI:

Mtu anapoacha mbwa wake holela ,halafu huyo mbwa akakuuma, unamfungulia mbwa mashtaka au mwenye mbwa?
 
Sawa, wamepokelewa. Kwakuwa sasa Rais Magufuli yuko madarakani na ameahidi kupambana na ufisadi, kwanini asiwakamate? Polisi wako chini yake, mahakama anazo, magereza anayo, anaogopa nini?
Au umesahau kuwa alisema hatafukua makaburi? Hapo kuna mapambano ya ufisadi au ngonjera za siasa tu?
Hata wewe RAIA unaruhusiwa kukamata kwa mujibu wa sheria, mbona hujawakamata na kutwa unapiga nao Picha na kukenua meno halafu unakuja humu JF unajifanya una uchungu na nchi! Ina maana wakikaa kwenu sawa na wakitoka ndio wakamatwe! Mtu ukijiunga na Machadema Akili zako zinakuwa sawa na za Ng'ombe tu.

Machadema are bunch of criminals.
;
 
Hata wewe RAIA unaruhusiwa kukamata kwa mujibu wa sheria, mbona hujawakamata na kutwa unapiga nao Picha na kukenua meno halafu unakuja humu JF unajifanya una uchungu na nchi! Ina maana wakikaa kwenu sasa na wakitoka ndio wakamatwe! Mtu ukijiunga na Machadema Akili zako zinakuwa sawa na za Ng'ombe tu.

Machadema are bunch of criminals.
Yaani gadi mimi raia nianze kuwakamata kina Lowassa, halafu Rais anayejipambanua kupinga ufisadi amewasamehe inatoa picha gani hapo? Open up your mind kilaza wee
 
Back
Top Bottom