Sakata la madini: CCM kama chama hakina kosa

Sakata la madini: CCM kama chama hakina kosa

Fungua macho yako uweze kuona. CCM haijawaho kuwa na sera ya ufisadi..
Ufisadi ni wa mtu mwenyewe.

Ingekuwa haijawahi kuwa msingewaweka ndani kina Lissu walioipigia kelele sheria na mikataba mibovu.

CCM mngeacha kuwafunga wabunge kwa rushwa kubwa na ndogo mngeliacha Bunge liwe huru na mikono ya Rais/mwenyekiti.

Wanaccm acheni uoga wa kukemea uovu.Kila lenye uovu alienda hata kuandamana kwa kuwapongeza wakubwa na kuwatukana na kuwadhalilisha Wapinzani kwa matusi na kebehi.

Kwenye hili usiiyoe CCM. Mnalo,mlilikoroga nlinywe.Nyie mlikubali Wapinzani waitwe Mofa na huyo Mkapa ambaye ndiye muasisi wa Rushwa na Ufisadi.Ndiye Jambazi kubwa kuliko mkapiga makofi,mitandaoni mkaweka kila kashfa na leo hata Makonda Wapinzani wanaposema mchunguzeni hizi Mali zote zimetoka wapi?? Bado mnawatupia madongo,matusi ati anavita vya panadol na asprini wakati yeye marafiki zake wakuu ni international drug lords na watakatishaji fedha aka GSM.
 
Sijui kama Magu alipiga kura ya kukataa Zitto asifukuzwe bungeni alipopinga mkataba wa Buzwagi
Labda mlete mada utufahamishe kama Kuna wakati wowote alipokuwa waziri alionyesha upinzani kwa mikataba hii mibovu
 
Sikuwahi kujua kwanini CCM wanaamini katika ujinga yaani wao wanapenda ujinga kama nzi na kinyesi
 
Hata wewe RAIA unaruhusiwa kukamata kwa mujibu wa sheria, mbona hujawakamata na kutwa unapiga nao Picha na kukenua meno halafu unakuja humu JF unajifanya una uchungu na nchi! Ina maana wakikaa kwenu sawa na wakitoka ndio wakamatwe! Mtu ukijiunga na Machadema Akili zako zinakuwa sawa na za Ng'ombe tu.

Machadema are bunch of criminals.
;

Tatizo mnataka kujisafisha lakini inashindikana.Binadamu ameumbwa na hisia ukishaona umekuwa ndiyo sababu ya maovu unatafuta kila njia kujiondosha.

Lowassa alikuwa CCM mmeshamfungulia mashtaka yake ya kula rushwa na Ufisadi?Kama hapana M nategemea nani amfungulie wakati Mwakyembe kasema Serikali inaushahidi wa kutosha kumshtaki??

Chenge yupo chama gani?Huyu si ndiye alikuwa M shauri wa serikali kwenye Mikataba kama Mwanasheria mkuu.

Mkapa alikuwa Rais ndiye alikuwa mkali kama mbogo kuwaweka Wapinzani Kizuizini kisa wamehoji uhalali wa Mikataba ya Madini.

Tunauelewa vyema CCM mnajitahidi kumuondoa kwenye hili, hamtalisaidia Taifa.Anzeni kuwakamata wote walio husika kuanzia Wabunge mpaka Rais.

Matusi kwa Chadema hayasaidii wala hayaijengi CCM. Watanzania wa zamani siyo wa leo.

Poleni sana Chama Cha Majambazi.
 
Ccm mlikubali swala kofia mbili kwa hiyo hapa hamtoki ktk hii lawama
 
Sijui kama Magu alipiga kura ya kukataa Zitto asifukuzwe bungeni alipopinga mkataba wa Buzwagi
Labda mlete mada utufahamishe kama Kuna wakati wowote alipokuwa waziri alionyesha upinzani kwa mikataba hii mibovu

Tena huyu ndiye aliyewazodoa sana Wapinzani kwa lugha yake ya kebehi Leo Analia Machozi ya mamba.
 
Hivi wewe kwa akili yako kama ya Kuku, unadhani zile tume alizounda Rais Magufuli zitatoa ripoti tofauti na anachokita?
Halafu unasema CCM haikuhusika, kwani hao waliotia saini walikuwa mawaziri na wabunge wa chama gani? Waikuwa anatekeleza ilani ya chama gani kama siyo CCM? C
Itakuwa wasomali ndio waliotia saini.
Ccm kwa kujitoa ufahamu tu awajambo
 

Mwisho iwe fundisho kwa wabunge wa CCM kufanya maamuzi sababu Rais kuwapa vijirushwa au vijisenti.Wafikirie Taifa kwanza.Yale ya kuitika wito wa Chama hata kwenye kuuza nchi wanifunze na waache.



CCM kama chama hakihusiki wanaohusika ni ndugu zako waliweka mbele maslahi yao. Kumbuka mafidai wanapida dili na wapinzani katika kulinda maslahi yao. Kumbuka Zito anamiliki magari ya Mh. Nimrod Mkono ili kulinda makosa yake. Pia kama mwenyekiti wa PAC alikuwa anaishi kwa kulipwa na taasisis nyingi ili kulinda maslahi ya majangalili wa rasilimali zetu.
Weka chama chako pembeni tupambane na hawa walanguzi wa kisiasa.
 
Habarini wanaJF.

Naomba nianze kwa kutoa pongezi kwa mheshiwa rais John Pombe Magufuli pomoja na mama Samia (Makamu wa rais), na waziri mkuu Mh.Khassim Majaliwa kwa kasi na maamuzi na maamuzi yao juu ya sakata la mchanga.

Hakika nimevutiwa na "combination" yao ya utatu usiotikisika. Mara nyingi Mh.Magufuli anapofanya maamuzi magumu basi utamsikia akisema "nimekubaliana na wenzangu"na tumeamua................ hii inaonyesha wazi kwamba "they are all sailing on the same boat". Maadui wamejaribu kuwatenganisha ili wampige baba vizuri lakina wameshindwa . Walaaniwe!

Katika suala la mchanga nimewasikia wanasiasa wanaotumikia matumbo yao wakiilaumu CCM kuwa ndio chanzo cha matatizo yote haya. La hasha!

Pia wamesikaka wengine wakimdhihaki Mh. JPM kwamba anafanya siasa kwa sababu alikwepo kwenye chama wakati yote haya yanafanyika na hivyo alitakiwa kuchukua hatua. Hapa watoa tuhuma ndio wanafanya siasa, wanaogopa kuzidiwa kete.

Mh. Rais kwa busara kubwa kabisa ameunda tume mbili mmoja ikiwa ni ya wanageojia na watalaam wa chemia na nyingine ikiwa ni ya wanasheria na wachumi. Bravooooooo!, Alijua kila kitu na zaidi ya maneno ya "the blind". Kamati ya pili watatoa muongozo wa what next kisheria na kiuchumi. Kama Lissu "The blind" angekuwa mzalendo basi angeenda kutoa maoni yake kwenye tume ya pili ya mh.rais au angeomba kujiunga na tume kwa maslahi ya nchi yake na jamii yake kwa ujumla.

Kwa makusudi kaamua kujiunga na yule adui wa nchi.

Naomba labda niwafumbue macho kidogo hawa vipofu wa maono. Mh. JPM hakuwahi kuwa waziri wa nishati na madini katika kipindi chote cha uongozi kama kumbukumbu zangu ziko sahihi amewakuwa waziri wa ujenzi, waziri wa uvuvi nk. Na katika wizara alizopitoa alivunja rekodi kwa kufanya mabadiliko makubwa na ya kushangaza. Alipokuwa uvuvi hata samaki wa nyumba ya mungu walisikia uwepo wake wakaanza kuelea juu ya maji wakijisikia wako salama dhidi ya wavuvi haramu.


Mara nyingi alikuwa akikwazwa na mabosi wake kwa kupindisha sheria (kubumbuka sakata la malori ya mizigo). Na kwa kipindi hiki wakina Lissu "the blind" alikuwa anasema Magufuli anatembea na barua ya kujiuzulu lengo la kumdhoofisha JK.

Chama kama chama hakina uhai wa kibinadamu, hakiongei, hakipumui, hakisain chochote, hakijui kusoma wala kuandika, hakijawahi kusafiri kwenda nje kusain mikataba na hakina makuu.

Chama hakikuwahi kuwatumu watu kusain mikataba ya madini, wala kusimamia zoezi lenyewe kwa wakati wowote ule kwa hiyo hakiistahili kulaumiwa kwa njia yoyote ile.

Waliosain mikataba na kufanya maamuzi mabaya ya madini ni ndugu zetu, makabila yetu, ni jirani zetu na ni marafiki zetu kwa njia moja au nyingine na sio CCM. Tuwanyooshee vidole kwa uhusiano wetu wetu tulionayo na wezi hawa.

Ifike mahali kila aliesain mkataba mbovu na abebe msalaba wake yeye na ndugu zake. Kama Karamagi alisain mkataba wa ovyo basi wahaya wote waanze kwa kumlaumu ndugu yao kwa kuwachafulia jina na kuwafanya waonekane wezi mbele ya jamiii.

Na kama Lowasa alihusika kwa njia yoyote ile kwenye kusain mkataba wowote mbovu wa richond basi abebe msalaba wake na wamaasai wote waanze kwa kumnyoshea kidole mwenzao kwa tabia ziligharimu nchi na zinaendelea kutugharimu mpaka leo.

Kumekuwa na tabaia ya watu kufanya maamuzi kwa kutangulia matumbo yao mbele. Wanapokula hela hizo hela haramu ni familia zao ndizo zinafurahia ila linapokuja lawama basi zinarushwa kwenye chama utafikiri chama nacho kina watoto au familia.. Mkome!!!


Rais na timu yake wameamua kurekebisha makosa yaliofanywa na ndugu zenu ili nyie mbaki salama lakini bado hao hao wezi wameamua kutumia mawakala wao kukwamisha mabadiliko haya. Tuwalaani kwa nguvu zote!!, Tuwambie sasa basi!

Tuungane kwa pamoja kupambana na wezi hawa wa fikra na sponsors wao!!


Ahsanteni kwa kuisoma na kuielewa
Umejikakamua kuandika vi pointless weee, sasa kama chama hakihusiki waziri alikuwa wa TLP? Na raisi alikuwa wa CUF? na majority ya wabunge walikuwa Wakenya? Hebu rudi shule ujisahihishe upya.
 
Aisee! Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
Akili zingekuwa nywele marasta wote wangekuwa vichaa kwa sababu ya kuzisokota. Mtoa mada akili yake inamsaidia kuvuka barabara tu, Chama kinaundwa na watu, Watu wanakaa na kukubaliana kupitisha miswada mibovu kwa maslahi ya chama ambacho kiuhalisia ndio watu haohao, sasa Leo anaibuka zuz eti Chama hakina kosa? Hata tafsiri ya "chama" cha siasa sina hakika kama anaijua.
 
Hawa walishajitoa ufahamu wao siku nyingi na laana inawatafuna
 
Ushabiki at its best!. Hujui kwamba waliotunga miswada mibovu ya madini ni serikali ya ccm? Hujui waliopitisha hiyo miswada ni wabunge wa ccm? Alie weka saini miswada kuwa sheria sie rais na m/kiti wa ccm? Mara ngapi wabunge wa ccm wald machachari wameitwa vikao vya ndani kutishwa ili warudi kwenye mstari? Mara ngapi wabunge wa upinzani wametolewa nje kwa kupinga miswaada ya ajabu? Naamini unayo kazi ya kutetea, lakini anaekulipa anapoteza hela yake.
 
Chama kama chama hakina uhai wa kibinadamu, hakiongei, hakipumui, hakisain chochote, hakijui kusoma wala kuandika, hakijawahi kusafiri kwenda nje kusain mikataba na hakina makuu.

Chama hakikuwahi kuwatumu watu kusain mikataba ya madini, wala kusimamia zoezi lenyewe kwa wakati wowote ule kwa hiyo hakiistahili kulaumiwa kwa njia yoyote ile.

Waliosain mikataba na kufanya maamuzi mabaya ya madini ni ndugu zetu, makabila yetu, ni jirani zetu na ni marafiki zetu kwa njia moja au nyingine na sio CCM. Tuwanyooshee vidole kwa uhusiano wetu wetu tulionayo na wezi hawa.


Ina maana CCM ilitekeleza ilani za UKAWA
 
Ahaha hacha asila uku nikiumen, mambo ya kupigiana Makofi Hakuna ukweli utabaki nihuo kijan mmeuza nchi,
 
CCM na ilaaniwe kwa ushetani huu, na watu wote tuseme Amen
 
CCM ni wauaji ndo wametufikisha hapa..kazi yao ni ndiyooo mzee sasa mnataka kuwadanganya wananchi kuwa siyo makosa yenu...ukijua kula jiandae na kuliwa..
 
Back
Top Bottom